Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 427
- 575
Ili kijana kujenga mafanikio yenye heshima na ambayo ayachoshi roho yako zingatia vitu hivi hapa.
1.uhusiano wa kiroho(spirtual relationship)
Kijana hili ufanikiwe ni muhimu kujenga uhusiano wako na Mungu katika maisha yako.
Uhusiano wako na Mungu unajengwa private na sio public, Tenga muda wako private kumtafuta Mungu kwa maombi(prayer), kusoma maandiko ya Mungu(Bibilia, Quran), Kufuata njia za Mungu kutafanya Mungu awe ndani ya maisha yako.
Faidi ya Mungu kuwa ndani ya maisha yako
-utapata ulinzi wa kiroho, akuna dark energy itakayokuzulu(uchawi)
-utapata amani ya moyo(inner peace) ata kipindi cha changamoto utakuwa imara sababu una msingi imara(root foundation) kutoka kwa Mungu
-utakuwa na hekima(wisdom) kwenye kila maamuzi unayofanya(right decision)
-utakuwa na clarity(muelekeo) kwenye maisha yako
-mafanikio yako yatakuwa na maana sababu yanatoka kwa Mungu mwenyewe.
-ata ukianguka ni rahisi kusimama maana Mungu yu pamoja nawe nyakati zote.
2.Ukomavu wa kihisia (Emotional intelligence)
Ukomavu wa kihisia unapata kwa kusoma vitabu, kusikiliza content za mahusiano, kusoma makala za Mungu , kuelewa tabia za binadamu.
Faida
-kijana jijenge kihisia itakusaidia kuepukana na mambo mengi kama ugomvi, ulevi ambao utakuharibu utulivu wako wa kiakili na kufanya maamuzi yasiyo sahihi.
-Hii itakusaidia kwenye ndoa yako baadae, unapokuwa umekomaa kihisia utafanya kuwa na ndoa imara ata kipindi cha changamoto za kifedha, afya, n.k
-itakusaidia kupata heshima katika jamii na nirahisi watu kukuamini na kupata fursa, watu ambao wanauwezo wa kuimiri hisia zao nirahisi kupata kuheshimiwa.
-itakusaidia akili yako ku focus(kuwa makini) na ndoto zako, Muda mwingi utakuwa upambani na watu hivyo kupelekea Energy yako kwenye mambo sahihi.
3.ukomavu wa akili(mind)
Ili kijana uweze kufanikiwa ni lazima mtazamo wako wa maisha ubadirike(mindset)
-Lazima uwe na mindset ya ushindi , uamini mafanikio ni ya kila mtu na sio wachache
-uwe na shukrani kwa Mungu ata kipindi cha changamoto, Maana shukrani ina vuta baraka zaidi au mafanikio
-Lazima uwe na imani kwenye ndoto zako, Kama kijana una ndoto anza atakama mazingira ayajakaa sawa , Mungu anataka uanze kwanza then akubariki .
-Kama kijana umepambana na ajira umekosa upo below 30 , dunia imebadilika, Tafuta skill(ujuzi) jifunze vizuri then tumia social media kutangaza utafanikiwa
-kijana pambana kujenga value, hili pesa zikufuate, jifunze skills mtandaoni mfano graphic designer anza kufundisha online , jenga jina , hapo mafaniko yatakufuata
-epuka watu wasio sahihi mfano marafiki, gossip issue(umbeya) ni vizuri kijana ukawa unakuwa karibu na watu wanao ku motivate kuwa mkubwa(positive people),ukiwa na watu hawa watakufanya kuwa na akili ya ushindi hivyo ni rahisi kuchukua hatua kwenye kila idea ulionayo.
-ukiwa kijana miaka chini 30 ni muhimu kuachana na sex kama hauko kwenye ndoa au ujapata mtu sahihi.
4.Sex(tendo la ndoa) kama hauko kwenye ndoa (mtu sahihi) linakufanya kupata confusion(kuchanganyikiwa), emotion unstable(hisia zako kutokuwa vizuri), comparison(kufananisha) watu uliokuwa nao kwenye mahusiano , kushare generation curse( tabia au trauma)
Hii itakufanya kupoteza dira ya maisha , maana utakosa utulivu na kupelekea kufanya mamuzi yasio sahihi katika maisha.
5 .Nidhamu ya pesa
Kijana nilazima ujifunze nidhamu ya pesa, jinsi ya kutunza(saving), kutumia , pia lazima kijana uwe na mindset ya kuwekeza(investment) ukishakuwa hivi utafanikiwa.
Note;kijana ukishakuwa umejijenga hivi ni rahisi kumpata mtu sahihi na kujenga ndoa imara , Maana universe inakupa kile ulichonacho.