Mkuu Oyaa mshikaji kumbe ana mguu wa kuku (pisto) anashadidia kupiga tairi la patrol ! litakapoondoka... hatuelewani mie nataka kujua ndani kuna taathira zozote?
Ninahakika gati la mbele limefungwa lakini ngoma ipo ndani taharuki zinaashiria kuwa kuna timu mbili ya nje inacover ..Nawasubiri hao niliowaita ilituwavamie !
Mkuu Oyaa mshikaji kumbe ana mguu wa kuku (pisto) anashadidia kupiga tairi la patrol ! litakapoondoka... hatuelewani mie nataka kujua ndani kuna taathira zozote?
Frendi Money St. Wanikumbuka last week tulikuruzana ktk uzi flani? usijali sana leo nahitaji ushauri wako.... if Ok just soma juu hapo upate ushuhuda vipi kuni savu usiku huu!!!