life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Mkuu Oyaa mshikaji kumbe ana mguu wa kuku (pisto) anashadidia kupiga tairi la patrol ! litakapoondoka... hatuelewani mie nataka kujua ndani kuna taathira zozote?
Ninahakika gati la mbele limefungwa lakini ngoma ipo ndani taharuki zinaashiria kuwa kuna timu mbili ya nje inacover ..Nawasubiri hao niliowaita ilituwavamie !kaka hapo kuna kila dalili umeibiwa,huwez angalia mlango kwa mbali kama umefunga?
Mkuu Oyaa mshikaji kumbe ana mguu wa kuku (pisto) anashadidia kupiga tairi la patrol ! litakapoondoka... hatuelewani mie nataka kujua ndani kuna taathira zozote?
pesa ndo tatzo mkuu,hatuzipend hz hali ila ndo inatulazimu
nimeanza kukuelewa mkuu ok story ziendelee mpaka mtakapolala.
Frendi Money St. Wanikumbuka last week tulikuruzana ktk uzi flani? usijali sana leo nahitaji ushauri wako.... if Ok just soma juu hapo upate ushuhuda vipi kuni savu usiku huu!!!nimeanza kukuelewa mkuu ok story ziendelee mpaka mtakapolala.
Yaani na mimi ninamiss mabaamed
duh iko wapi mkuu nifike na jopo languhahaahaaa......
nimeambiwa kuna baar hao wadudu wanatembea bila vitasa