ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
Tubadirishane mawazo juu ya stress zinazotukabili,tupeane mawazo jinsi ya kuzikabili,waweza PM pia kama ni personal: Angalizo mimi ni "me"
Yaani na mimi ninamiss mabaamedNawaza kurudi likizo Tz, nime miss watoto wangi, kulewa, club, vumbi, ugali na kadhalika.
dah.., hizikazi za mbali na home bhana! kweli pesa ipo lakini hakuna raha zile za ki-home zaidi
Weekend,watu wamechoka na wanatimiza wajibu wa unyumba saa hz
Stress free zone ni humu jf!!hahaha nawaza wazazi wangu wananiamisha mji etii kisa kazi,afu huu mji nnao ishi ndo mpedhi yupo sasa nahs kuibiwa hvii nkiondoka tu,yaan nawazA mpAka bhasii ni changamoto kwakwelii
Nawaza kurudi likizo Tz, nime miss watoto wangi, kulewa, club, vumbi, ugali na kadhalika.
dah.., hizikazi za mbali na home bhana! kweli pesa ipo lakini hakuna raha zile za ki-home zaidi
Tuko pamoja mwana mi hapa nagaragara tu kwa sababu ya hiyo.najiuliza kama Goba kuna joto je huko Sinza,kwa Tumbo na Keko Inakuaje poleni sana ndugu zangu
Leo kuna joto balaa huku tabata ndo kabsaa
Wandugu mpo hai.... Aaa samahani mpo macho !! Upande wangu huu imekaribia saa tisa usiku nimerudi kutoka safari ! naona patrol ya polisi inapiga doria nyumbani kwangu na umeme umezimwa wakati niliacha light ON ....!! Looh name nimezima taa za gari nimeliegesha pembani kimya... Je, nifanye nini? au nipige repoti polisi? niwahinii wadugu...
Sasa nimeripoti polisi hadi sasa hawafika ..Nami nimepiga picha ya Doria (patrol) nimepata mshikaji kajanisaidia kimyakimya..tunarikodi taharuki zote! naona kama mlinzi kapewa likizo usiku huu.... Nifanyeji mkuu?hapo inawezekana umeibiwa,jaribu kuripoti kwanza kabla hujaingia
Sasa nimeripoti polisi hadi sasa hawafika ..Nami nimepiga picha ya Doria (patrol) nimepata mshikaji kajanisaidia kimyakimya..tunarikodi taharuki zote! naona kama mlinzi kapewa likizo usiku huu.... Nifanyeji mkuu?
kama mnasikia joto si muwashe AC kipupwe