Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,074
Wadau nawasalimu. Nchi yetu ilipitia matukio makubwa ya kihalifu miaka kadhaa hapo nyuma. Kupitia jeshi la polisi uchunguzi wa uhalifu huo mpaka sasa wahalifu hawajapatikana wala kukamatwa.Uhalifu uliofanyika ni
1. Kupigwa Risasi kwa Kiongozi wa CHADEMA Mh. TUNDU LISSU
2. Kutekwa kwa MFANYABIASHARA Mashuhuri MO Dewji
3. Kutekwa na Kutoonekana kwa Bw.Ben saanane Mwanachama wa Chadema.
4. Azory Gwanda
5.Wengineo
Matukio haya yamekuwa ya muda mrefu na jeshi la Polisi mpaka sasa halijawakamata wahusika na pia halijasema chochote juu ya upelelezi wake mpaka sasa.
Wakati umefika kwa Jeshi la Polisi na Serikali kutamka kama jeshi letu limeshindwa kuwapata wahalifu basi serikali iombe msaada kwenye vyombo vya uchunguzi vya nje ya nchi vije visaidie uchunguzi na upatikanaji wa hao wahalifu.
Binafsi sidhani kama ni sahihi kwa serikali kukaa kimya wakati ndugu na wahanga wa huo uhalifu wapo na mwingine ben saanane hajulikani alipo.
Tunaiomba Serikali ichukue hatua za kuvishirikisha vyombo vya nchi za nje ili wahalifu wakamatwe na kufikishwa mahakamani.