Kama ni wewe ungefanyaje/ulifanyaje?

Kama ni wewe ungefanyaje/ulifanyaje?

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Amani iwe nanyi!
I hope muwazima! Kwa wale wagonjwa, watapona kwa dawa na Uwezo wa Mungu!
...
Back kwa topic.
Iko ivi, huu mjadala nimekutana nao hapa maeneo ninayoishi!
Mada iko hivi:
"Ukiwa na mpenzi wako (sio mke), marafiki zako na baadhi ya watu wakatambua mahusiano yenu, then, akatokea mmoja wa rafiki zako au hata sio rafiki yako but anatambua kuwa wewe na x ni wapenzi, then akawa anakusaliti/anatembea na mpenzi wako! Kwa njia moja au nyengine ukatambua huo usaliti!"
SWALI: Utafanyaje/ulifanyaje?????
...
Kwa upande wangu:
sitoweza kumfata mwizi wangu, kitendo cha kumfata nahisi kama najidhalilisha! Kwanini nimfate? Si anatambua mahusiano yetu! Hivi hatambui hiyo kitu ni mbaya? Yeye kama yeye atapenda mpenzi wake achukuliwe?
Hata ikiniuma sana, nitajibu mashambulizi kwa njia nyengine lakini sio kumfata mwizi wangu neither kwa reconsiliation nor kwa kupigana!
(mbaya sana! Hii hali imeshanitokea!)
Mmh! Nimejikuta niko peke yangu katika huo msimamo!
Na hiyo ndio sababu ya kuleta huu uzi!
...
Hivi kama ni wewe inakutokea hiyo hali ungefanyaje/ulifanyaje?
Nyote mnakaribisha.
 
naachana nae kabisa kwanza anakuwa amekudhadhalilisha sana,, me siwezi kabisa
 
Msimao wako ni mzuri pia unajua silence is a weapon, kwanin uanze kusumbuana na watu vitu ambavyo vipo wazi na wala aliefanya si mtoto ni mtumzima, unapotezea kimya kimya but you are planning 4 a reveng, but kama utasamehe na kupotezea itakua poa zaid maisha yanaenda kwani wew ni wa kwanza kusalitiwa
 
duh...
..em tupe kabisa equation ya ku kross multiplikeshen...kama umeandika kimahesabu.!!
 
kwakuwa huyo niliye nae ni mpenz as mchumba mi naachana nae kwakuwa si mwaminifu na hanifai,ila ingekuwa huyo niliyenae tayar ni wife(mke wa mtu sumu) nitamfanyia revenge huyo mchz ili next time wengne wajifunze.
 
Je Utavunja urafiki na huyo jamaa?

kwakuwa huyo niliye nae ni mpenz as mchumba mi naachana nae kwakuwa si mwaminifu na hanifai,ila ingekuwa huyo niliyenae tayar ni wife(mke wa mtu sumu) nitamfanyia revenge huyo mchz ili next time wengne wajifunze.
 
Back
Top Bottom