Kama ingekuwa wewe unge andikaje?

Kama ingekuwa wewe unge andikaje?

We ndo choka mbaya kabisaaaa.
kama 10,005 = shs elfu kumi, na tano tu. je, 15,000 itakuwaje?
Dah! Na bahati mbaya ndo nnfanya kazi benki basi, tena huu mwaka qa 10 sasa.
Maskini weeeeeeee
 
nimepokea sh. Elf kumi na shilingi tano au nimepokea kumi elf na shilingi tano
 
shilingi tano= gobore
kwa hiyo shilingi elfu kumi na gobore.......si inaeleweka eeeh?
 
kwani zile pay in slip si zinakuwaga na sehemu za kujaza anayeweka pesa mwenyewe? Mi ningemrudishia sh tano yake na kumwambia ''kompyuta haihesabu hii''.
 
Back
Top Bottom