Kama ingekuwa wewe unge andikaje?

Kama ingekuwa wewe unge andikaje?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,966
Mkulima mmoja wa pamba Maswa shinyanga, alipouza pamba yake alipata tsh 10,005.
Basi alizichukua pesa zote na kuzipeleka benki.
Akamkabidhi tella wa benki. ilikuwa hivi:
Tella akapokea pesa na kuandika lisiti kwa maneno
NIMEPOKEA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO.
Kama wewe unge andikaje?
 
Kiswahili kazi
 
Adisinzuri kakufundisha nani 2ambiebac?
 
shs elfu kumi, na tano tu. Iko sahihi kabisa. Km vp ntahamia kwenye kidhungu
 
shs elfu kumi, na tano tu. Iko sahihi kabisa. Km vp ntahamia kwenye kidhungu

We ndo choka mbaya kabisaaaa.
kama 10,005 = shs elfu kumi, na tano tu. je, 15,000 itakuwaje?
 
Back
Top Bottom