Au amrudishie kipitia hiyo namba, nakushukuru kwa uungwana!mkuu si huwa kunakua na namba pale kwenye msg kwa nini usimpigie mkamalizana huko huko
Mpesa hakunaga nambamkuu si huwa kunakua na namba pale kwenye msg kwa nini usimpigie mkamalizana huko huko
Siyo kweli. Haliwezi kuja jina bila namba! Vilevile kwanini usipige 100 huduma kwa wateja kwa msada zaid?Mpesa hakunaga namba
ni majina tu
we jamaa unatumia mtandao gani?Siyo kweli. Haliwezi kuja jina bila namba! Vilevile kwanini usipige 100 huduma kwa wateja kwa msada zaid?