Kama huyapati haya, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha

Kama una mke anakufanyia hivo, na unao uhakika wa moyo wake kuwa kinachomwongoza ni upende peke yake neda utoe sadaka za kutosha kwa Mungu wako. Wanawake wengi kwa sasa ni actors tu, pretenders kwa kiasi kikubwa.

Mke mwenye upendo huwezi kumwamini kwa hayo. Had I to marry again, nina vigezo tofauti na thinking tofauti na wewe. Women are now material oriented than love based to their husbands.

Wanawake wengi wakitaka kuolewa anaanza kwanza kufikiria what you own, your future success etc than putting love installed in her to the man.

Bad enough, even parents seek to know economic and educational profile of the guy would wish marry their daughter.
Uko sahihi, ndio maana kumpata mwenye sifa nilizozitaja, unatakiwa upambane kweli
 
Nikweli broo hapo hauja kosea
Mimi Nina mwanamke wangu.
Kuanzia mwezi wa 3 mwaka huu nilipata matatizo nikakaa rumande Kama siku 5 hivi.nilipotoka mabosi zangu wameniwekea ngumu kibaruani pale.
Basi nikawa sina kazi mpaka Sasa.
Bwanaa yule mwanamke akaanza kubadilika vituko vikaanza,mpaka kuna wakati najiuliza ndo huyu kweli?mapenzi yote Kwishaa.
Simu ananifuta wiki Hadi wiki tena akijisikia.
Hivyo Jana nimetoka kumchana live aachane na mimi.nimepata mwanamke mwingine.lakini hakomi,kuachana na Mimi hataki ila kila siku vituko
 
Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:-
  • Mkeo anakupokea kwa furaha
  • Anakuvua koti
  • Anakuvua viatu na soksi
  • Anakuvua nguo zote
  • Anaenda kukuogesha
  • Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo
  • Anakupatia chakula ukipendacho
  • Anakuliwaza kwa stress ulizozipata kazini
  • Anakudekeza kama mtoto mdogo n.k
Kama huyapati haya wakuu, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha.
Kwenye ile movie ya kihindi ndo niliona hii mambo
 
Anaweza kufanya hayo yooote na bado akawa s sahihi kwako, kuna meng ndoani jaman s kuogesha sjui kuvuana nguo mbuuuutah!

Kweny ndoa n kumpata yule mtakae kuwa nae bega kwa bega katka hali zooote, najua unaelewa nn maana ya hali zote. "Kuna mama huku mtaan kaachwa kisa alipata kifafa wakat anajifungua mtoto wao wa mwsho yan mume kasahau yooote na kumuacha akiteseka na mwanae huyo wa mwsho"

Kwny ndoa s "maigzioni" je, uliyenaye anaweza kusmama na ww katka kila hali mtakayopitia maishani?? Kuogeshana, kuvalishana cjui madudu gani wacha wafanyiwe watoto s ya kuweka kipaumbele...............na sjasema msiogeshane ogeshaneni lakn kisiwe ndyo kipimo cha upendo baina yenu
 
Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:-
  • Mkeo anakupokea kwa furaha
  • Anakuvua koti
  • Anakuvua viatu na soksi
  • Anakuvua nguo zote
  • Anaenda kukuogesha
  • Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo
  • Anakupatia chakula ukipendacho
  • Anakuliwaza kwa stress ulizozipata kazini
  • Anakudekeza kama mtoto mdogo n.k
Kama huyapati haya wakuu, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha.
Haya utayapata kwa mchepuko tu, siyo kwa mwanamke ambaye anashinda anachakarika ili msaidiane kuyamudu maisha, anapambana na watoto ili uwakute wako wasafi nawewe upate hamu ya kuwabeba na kuwa hug wanao, anawaza vikoba ambavyo wewe mume ulimuomba akukopee pesa ili uweke dili zako vzuri, ambaye anawaza jinsi last week alikuta meseji za wanawake zako kwenye simu mkipongezana mlivyoenjoy game, ambaye anawaza alikwambia kuna issue nyumban kwao mama au baba anaumwa na haujatuma hata mia wala kuwapikia kuwapa pole na kuumwa!! Wanaume mapenzi ni ya pande mbili, ukiyataka mazuri mpe kwanza mwenza wako mazuri aisee mbona hyo ya kubebwa kuogeshwa itakuwa automatically. Kama wewe unajijua una maudhi mwngi sahau mke akuogeshe na kukulisha zaidi atakupokea kawaida, ataandaa maji bafuni kawaida, atakupakulia chakula na kukumiminia kinywaji full stop.
 
Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:-
  • Mkeo anakupokea kwa furaha
  • Anakuvua koti
  • Anakuvua viatu na soksi
  • Anakuvua nguo zote
  • Anaenda kukuogesha
  • Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo
  • Anakupatia chakula ukipendacho
  • Anakuliwaza kwa stress ulizozipata kazini
  • Anakudekeza kama mtoto mdogo n.k
Kama huyapati haya wakuu, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha.
Muna siku ngapi kwenye ndoa?

Mkeo ni mama wa nyumbani nini mkuu!

Ukikua utaacha.
 
Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:-
  • Mkeo anakupokea kwa furaha
  • Anakuvua koti
  • Anakuvua viatu na soksi
  • Anakuvua nguo zote
  • Anaenda kukuogesha
  • Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo
  • Anakupatia chakula ukipendacho
  • Anakuliwaza kwa stress ulizozipata kazini
  • Anakudekeza kama mtoto mdogo n.k
Kama huyapati haya wakuu, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha.
Hahaha
Naona inabidi nioe binti anayekidhi hiyo job description.

Bila kukwaruzana hakuna joto la mapenzi.

Ndo maana hata shetani aliona raha za Mbinguni zimboa akaamua kuasi
 
Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:-
  • Mkeo anakupokea kwa furaha
  • Anakuvua koti
  • Anakuvua viatu na soksi
  • Anakuvua nguo zote
  • Anaenda kukuogesha
  • Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo
  • Anakupatia chakula ukipendacho
  • Anakuliwaza kwa stress ulizozipata kazini
  • Anakudekeza kama mtoto mdogo n.k
Kama huyapati haya wakuu, jua hapo ulipo hujaoa; bali umetafuta mtu wa kusindikiza naye maisha.
Katika dunia hii ya mchakamchaka bado unataka mkeo akufanyie hayo yote labda uoe mtanga, umwache nyumbani akisugua tako kwenye mkeka akikusubiria akufanyie hayo na umto..mb..e tu.
Lakini mke uliyemfungulia biashara au mwajiriwa hayo yote hawezi, atafanya 3 tu hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom