Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,120
Haya mapenzi bwana!
Ata ujibidishe vipi kwenye show, usipohonga ni Zero. Na ukihonga ila show ukaboronga, ni Zero pia.
Hizi genye zitatuua maskini!
Anataka money,time,caring na sex sasa cjui kuna nani anaweza timiza hayo.....kifupi hawa wadudu hawaeleweki siku zote nn wanataka.....tunao watu ambao Mungu Amewajalia kila kitu karibia lkn kila leo wanamegewa na wahuni tuu,na ndio maana hata ktk familia mtu akishazaa watoto anaona hawa ndio rafiki zangu wa kweli bali sio mkwel