Duuh huo ni uchafu kabisa.
Jibu ganiHii kitu niliwahi kuiona kuke kijijini kwetu, na nilipo uliza kuhusiana na kurudi kwa mate wakati wa kufyonza hiyo pombe.......
Jibu nililopewa Mdomowangu ulibaki wazi.....[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47]
Kwamba wakiwa kwenye mzunguko wa kunyonya kimera, wote macho yao hukua pale ili kubaini yeyote ambae akifyonza na kisha inaonekana povu kutokea alipo choma mrija, basi ujue huyo amrudishia mate na adhabu yake ni kununua kimera kingine sawa na kilicho bakia, pia hashirikishwi tena kinywajiJibu gani
DJ sepetu
SawaKwamba wakiwa kwenye mzunguko wa kunyonya kimera, wote macho yao hukua pale ili kubaini yeyote ambae akifyonza na kisha inaonekana povu kutokea alipo choma mrija, basi ujue huyo amrudishia mate na adhabu yake ni kununua kimera kingine sawa na kilicho bakia, pia hashirikishwi tena kinywaji
Iyo pombe huku mbeya maeneo ya wanyakya wanaiita kimpumuu...... Iyo mirija inaitwa fwefwe
Sent using Jamii Forums mobile app