VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Unaamka asubuhi huku ukiwa na heng over ya jana usiku:
Unapasha maji kweny jiko la gesi ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na ya baridi unajimwagia, unaungua unaanza kupiga kelele bafuni. Daaadeki
Unatoka nje kwa hasira huku ukiwa na maumivu
Ile unatoka nje ndege anapita anakushushia mzigo wake,unarusha jiwe ili umpige; unamkosa, wakati huo baba mwenye nyumba ndio anafika anakutanalo la uso.
Unakimbilia ndani haraka ili asikuone;
Unajisahau kumbe ulifunga mlango wa chumbani kwako, kwa speed uliokuwa nayo breki inafeli unajipigiza mlangoni unazimia;
Baada ya muda unazinduka sasa.....
unaingia ndani unawasha feni haiwaki unataka kufanya utundu wako ili iwake unachanganya waya za hasi na chanya unapigwa shot unazimia tena😂😂
Unazinduka baada ya masaa kadhaa huku ukiwa una njaa ya kutosha.
Unatoka nje mara unaona watu wanakimbia huku wakisema "mwizi" mwizi" mara unamuona uyo mwizi, unaokota jiwe unampiga kwa hasira uyo mwizi anaanguka anazimia.
Mara watu wanashika kichwa,,kumbe ulio mpiga sio mwizi watu walikuwa wana shuti muvi:::: Tangazo haukulisikia kwan wakat wanatangza ulikuwa umezima.
Waigizaji wenzie na raia wengine wanakuangushia kipondo(wanakupiga)
Unazima unajikuta upo hospitali(raia wema walikusaidia)
Unaamka na wengeeeee unakunywa drip ukijua ni maji ya kandoro,,tumbo linaanza kuuma unapiga kelele.
Wanakuja manesi unapatiwa huduma ya kwanza then unalala, baada ya dakika chache unaamka mgongo unakuuma unamuomba mgonjwa mwenzio mbadilishane kitanda,baada ya kuona chake tofauti na chako, kiroho safi tu,anakubali!!! kitanda kipya unapanda unajifunika shuka gubi gubi unalala. Ohhhhhh
Kumbe sehem alipo lala huyo jama alitakiwa akafanyiwe oparesheni ya kichwa; mwisho wa siku unapelekwa wewe unaaenda kufanyiwa oparesheni wakati hata hauumwi(unapelekwa ukiwa umelala na unachomwa sindano ya ganzi).
Baada ya upasuaji madokta ndo wanashtuka kuwa wamemix watu,wanakushona na kukurudisha wodini.
Unaamka unaona kichwa kizito unakipiga piga,,unapiga sehem ya mshono unapiga kelele maumivu makali unazimia tena.
Acha tu niishie hapa.