kastizo zoo
Member
- Sep 12, 2012
- 51
- 2
Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.
Ukipata mpenzi mwenye akili za kuzaliwa + za Elimu yake, chuo utafaidi balaa, utaona raha mchana na usiku, afu awe anaudhuria mazoezini kwa wakati wee! kocha ujasema, mchezaji huyu! yani masomo ni easy na kila siku ni safi yaani fresh, Muulize dani mimamo maana ya siku nzuri. namithi chuo miye
sawa sawa kaka ila utamjuaje sasa? si unajua wale jamaa kwa kuvaa ukondoo hawajambo.
utamfahamu tu, kwa mfano mkiwa mnachukua degree mtakaa chuo miaka mi tatu minne wengine mpaka mi5, sasa usiwe na haraka semister ya kwanza tu demu, mtu wa ukweli atafahamika tu jenga naye urafiki wa karibu usio wa mapenzi kisha, unajua chuo ni kama home wazoee rafiki zake, nenda chumbani kwao mara kwa mara angalia wanavyoishi na wenzie na maisha ya kila siku, chuo makucha hayafichwi coz mtu hawezi ficha ubaya wake kwa mazingira yale mnayoishi utadhani mpo kitaa then utamfahamu tu. kishajipatie binti saaafi hata wa kuoa...this is from my experience, i got it when in university
mkuu sa uwanze kumfatilia dem mpka chumban kwao si utafel
Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.
Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.
utamfahamu tu, kwa mfano mkiwa mnachukua degree mtakaa chuo miaka mi tatu minne wengine mpaka mi5, sasa usiwe na haraka semister ya kwanza tu demu, mtu wa ukweli atafahamika tu jenga naye urafiki wa karibu usio wa mapenzi kisha, unajua chuo ni kama home wazoee rafiki zake, nenda chumbani kwao mara kwa mara angalia wanavyoishi na wenzie na maisha ya kila siku, chuo makucha hayafichwi coz mtu hawezi ficha ubaya wake kwa mazingira yale mnayoishi utadhani mpo kitaa then utamfahamu tu. kishajipatie binti saaafi hata wa kuoa...this is from my experience, i got it when in university
Sitaweza kwenda hata mara 1 labda awe hoi anaumwa.