KAUZUDAGAA
Member
- Sep 24, 2012
- 36
- 4
1.5 kbwengne bila madem kitabu hakipandi .. Yani ni kama catalyst tokea std 5 mpaka nafaulu form 6 !!!
1.5 kb
title na uzi wenyewe mbona vinaenda tofauti?
1000,000,000,000 kb hapo mkuu umenifurahisha sanaaaaaaha!ha!ha! Usipopata dem chuon utakuja kupata wap tena kaka?( ukianza kazi unakuta madem wote kazin wanamausiano na watu zao tangu vyuon), taratibu kaka kazi na dawa hiki chuo sio secondary ata maprofeseee wanakushauri ukiwa na dem ndo shule inapanda kinoma noma poleeeee ehe
Jipange kwa kupiga msuli chuoni na sio kwenda kutafuta madem kwa kujionesha eti kama ww ndo una pesa wakati pesa zenyewe umekopeshwa na HESLB.
Kaa usome mapenzi utayakuta tu tatizo mnapenda mambo ya wakubwa zenu.