Kama hujui kaa kimya sikiliza

fundik

Member
Apr 22, 2013
59
38
Miaka ya 70 ilikuwa ni desturi kwa wanafunzi wa sekondari kuongea kiingereza wakati wa LIKIZO KUONYESHA KUWA NI WASOMI.Jamaa mmoja alipoambiwa anajikweza mno wakati ni form 1 akajibu "You what you. To do you do you to say you say me." Ikawa mwisho wa ubishi
 
Siku hizi pesa mkuu.

Kuongea kingereza bila pesa ni uchizi.
Ni sawa na kipara bila elimu ni kovu
 
Zamani wajuaji wa hizo lugha walikuwa wachache ndo mana ngeli ilikuwa title kubwa kwao,siku hizi ngeli si kitu hizi idadi ya waongeaji imezidi mno so hakuna wa kumtambia
 
Back
Top Bottom