Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,182
HABARI ISIYOKUWA NA UBISHI;

NASEMA HIVI,
KAMA UMESOMA CHUO MIAKA MITATU MPAKA UNAMALIZA NA HUJAWAHI KUPATA SAPU ANGALAU 3,
BASi WE' NI MWOGA NA YAFAA URUDISHWE TU CHEKECHEA ANGALAU KWA MIAKA MIWILI YA ZIADA UKACHANGAMSHWE UPYA AKILI ILI KUKUJENGA KIUKOMAVU NA UPANA WA MAARIFA!

NA SAPU NI SEHEMU YA DARAJA LA UKOMAVU NA UBOBEZI WA KITAALUMA,
NA ND'0 UKUBWA HUO!
NA
UKIPATA BAHATI YA KUPIGA STORI NA WANAZUONI_WALIOKOMAA,
KAMA VILE MADOKTA NA MAOROFESA HALAFU WAKAKUSIKIA KUWA HUJAWAHI PATA SAPU HATA 1-
WANAKUONA 'BOYA' NA HUIWEZI MIKIKI!
ILA
WAKISIKIA KUWA USHAWAHI KUPATA SAPU KADHAA-
WANAJUA KUWA HUYU MWANA NI MWANAHARAKATI NA ANAIWEZA MIKIKI KATIKA NYANJA MBALIMBALI ZA KIMADESA NA KUUKABILI VEMA MFUMO WA MFUMUKO WA SOKO LA KITAALUMA!

HII HAINA UBISHI,
NA BABA'ENU seneta_WA_MTWIZ
NIMEMALIZA.
 
Last edited by a moderator:
Haha umenifurahisha seneta ,between the lines nimekuelewa tofauti ,hakuna jemedari pasipokua na vita ,na hakuna vita iliyo pigana bila kua na loss ya watu au vifaa aka SUP
 
Haha umenifurahisha seneta ,between the lines nimekuelewa tofauti ,hakuna jemedari pasipokua na vita ,na hakuna vita iliyo pigana bila kua na loss ya watu au vifaa aka SUP

We' JAMAA UNA AKILI NYINGI SANA,
WENGINE WAMEMBWELAMBWELA TU HAPA!
HATA CHA MAANA WALICHOONGEA HAKUNA!
 
5years of medical school and three more years of post graduate Mmed studies, not a single supplementary exam!! You must be extremely retarded to think that miaka mitatu ya chuo, let alone chuo Bila sapu, ni mingi. Na bata zilikuwepo kama kawa kudadex
 
Lipopoma na likilaza fulani linatafuta faraja hapa jamvini baada ya kukamatwa

Punguani wahed
 
Mtu mzima unajisifu kuwa umepata SUP ni akili kweli. Boya kabisa.
 
Back
Top Bottom