Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

unahalalisha haramu we kama umepata hizo SAP usiwafanye watubwengine wazione kawaida uishie kupata ww peke ako
 
ukpata supp unakuw n mawazo y nyumban au chuo,mda wwt mambo yanabadilka supp xo nzur kwanza nan anapenda vtu vbaya ,soma vyuo vy tech ndo utajua supp n nn?
 
5years of medical school and three more years of post graduate mmed studies, not a single supplementary exam!! You must be extremely retarded to think that miaka mitatu ya chuo, let alone chuo bila sapu, ni mingi. Na bata zilikuwepo kama kawa kudadex

bhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!
 
Wengine ni watu wa mikiki mikiki na hakuna sapu. Sa kama wewe akili yako ndio kilaza namna hiyo pole. Inaelekea hata ukimaliza chuo hutakuwa na mchango chanya kwa jamii yako.

Mwanafunzi piga mishe zote na usikubali paper ikuone.
 
SAPU NDo UKUBWA HUO!
 
Haha umenifurahisha seneta ,between the lines nimekuelewa tofauti ,hakuna jemedari pasipokua na vita ,na hakuna vita iliyo pigana bila kua na loss ya watu au vifaa aka SUP

Usifikiri ni kazi rahisi pia kutopata supp. ni jasho pia tena kubwa....tofauti na wewe ni kuwa kwenye paper hasiyepata supp hawezi kupiga bao, au mikono kulowa jasho....wewe quiz mbili tu ukiona umeboronga Sept unaiona ile
 
Hahaha mkuu nafahamu hilo ila amini pia kuna watu ni kazi rahisi Sana kutokupata sup sio lazima atokwe na jasho
 
Mtu kudahiliwa fani flan maana yake umekidhi vigezo vyote na uwezo wakusoma ndan ya ratiba ilivyopangwa sanjali na ufanyaji wa mitihani ndan ya muda uliopangwa yaan kwa mwaka mihula miwili,inapotokea umefanya kinyume cha hapo maana yake uwezo wako ni mdogo...hivi ndivyo watu tuliosoma darasa la mkoloni nakuishia darasa la kumi tunaamini na hata waliosoma 90's watakubaliana na hili...yaan hakuna chuo kinachotunga mitaala ambayo wanajua kuwa mwanafunzi ambaye atakuwa na marks hizi(uwezo huu) atashindwa kufanya vyema ndan ya muda huo,ikiwa tofaut maana yake huna uwezo katika hiko unachokifanya...
 
Mnashknashkna na mademu chuoo...na ukilaza juu....kwenda twn kila mudaaa..... Someni...mje mpmbne ktaaa....vacancies wametoa udom, angalia vgezooo sanyiee msikazeee
 
Back
Top Bottom