Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Mimi Nilipata Sup Tena Mathematics....Daah!Mara Mbili,ile Ya Pili Nikamchomolea Lecture,nikamwambia Hyo Sup Siitambui,maana Nilikuwa Nikikamua Math Test Dakika Ya Mwisho Naambiwa Nimesup!Sup Ni Kpimo Kizur Sana Cha Ushujaa
 
Kumbe kufeli ni ushujaa

sup zingine zinatengenezwa so c kila MTU apataye sup ni kilaza. daty sup mda mwngne inakukomaza ki akili na in boost performance next semester coz inafanya uwe makini
 
HABARI ISIYOKUWA NA UBISHI;

NASEMA HIVI,
KAMA UMESOMA CHUO MIAKA MITATU MPAKA UNAMALIZA NA HUJAWAHI KUPATA SAPU ANGALAU 3,
BASi WE' NI MWOGA NA YAFAA URUDISHWE TU CHEKECHEA ANGALAU KWA MIAKA MIWILI YA ZIADA UKACHANGAMSHWE UPYA AKILI ILI KUKUJENGA KIUKOMAVU NA UPANA WA MAARIFA!

NA SAPU NI SEHEMU YA DARAJA LA UKOMAVU NA UBOBEZI WA KITAALUMA,
NA ND'0 UKUBWA HUO!
NA
UKIPATA BAHATI YA KUPIGA STORI NA WANAZUONI_WALIOKOMAA,
KAMA VILE MADOKTA NA MAOROFESA HALAFU WAKAKUSIKIA KUWA HUJAWAHI PATA SAPU HATA 1-
WANAKUONA 'BOYA' NA HUIWEZI MIKIKI!
ILA
WAKISIKIA KUWA USHAWAHI KUPATA SAPU KADHAA-
WANAJUA KUWA HUYU MWANA NI MWANAHARAKATI NA ANAIWEZA MIKIKI KATIKA NYANJA MBALIMBALI ZA KIMADESA NA KUUKABILI VEMA MFUMO WA MFUMUKO WA SOKO LA KITAALUMA!

HII HAINA UBISHI,
NA BABA'ENU seneta_WA_MTWIZ
NIMEMALIZA.

Asikwambie mtu, SAPU zina wenyewe na wenyewe ndio nyie ambapo kila semister mtu unashikwa. Kazi unayo aisee.
 
Last edited by a moderator:
Unatafuta wenzio wazee wa ''September conference'' mfarijiane? japo ninajua kabisa kuna watu wengine huwa wanapata sup kwa bahati mbaya, napinga kwa nguvu zote kwamba kama mtu hujapata sup, basi wewe ni boya. Argument ya ajabu sana hii.
 
Stupid unatetea ukilaza wako. Najua ulikua unakasirika sana ukiwai kurudi chuo wakati wenzako bado tupo home
 
Hili jamaa jinga kweli wewe umekwenda chuo bila malengo unataka wapotosha wasiojua kupata SUP ni kufeli kwann wataka pandikiza watu waamin kufeli ni vzr? Kwa taarifa yako tumesoma miaka mitano bila Sup
 
Unapata sup baada ya kefeki, kuna watu wanafurahia kufeli? ninao tatizo letu kama chi na ni kubwa, hata form four kuna waliokua wanajisifia kupata division four waliipa jina eti division ya vijana, sup ni za bahati mbaya na huwa zinawazoea vilaza, waso vilaza wanapata mara chache sana, tusijenge tabia ya kufurahia kufeli. wapo wengi waliosoma miaka 3, 4 hadi 5 bila sup hata moja na sasa wako juu mno
 
Sijawahi kupata sup na sijaona sababu ya kufanya nipate sup na nilikuwa sikeshi.
Kusoma ni kuelewa na elimu ya chuo bila hata kukariri unaweza ukajibu mtihan
 
Kwa hiyo mtoa uzi kwa mantiki yako unataka kusema kwamba hizo sapu ni za kuforce/kujifelisha maksudi ili uzipate.kama ni hivo basi nina uhakika wakati huo unafanya maamuzi binafsi ulikuwa "bange mode activated"
 
Back
Top Bottom