Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

Kama hujawahi kupata 'supplementary'...

mnashknashkna na mademu chuoo...na ukilaza juu....kwenda twn kila mudaaa..... Someni...mje mpmbne ktaaa....vacancies wametoa udom, angalia vgezooo sanyiee msikazeee

mkuu umegusia ishu ya vacancies za udom,
kwa graduates waliomaliza mwaka huu karibia wote hawana transcripts,

wanaweza kuapply ikiwa wamefikia g.p.a inayotakiwa au ndo wasubiri mpaka mwakani?
 
hakuna ukweli wa kisayansi juu ya hilo.mi nilipata moja tu miaka yangu yote chuoni.pamoja na kua na majukumu ya kiuongozi.
 
5years of medical school and three more years of post graduate Mmed studies, not a single supplementary exam!! You must be extremely retarded to think that miaka mitatu ya chuo, let alone chuo Bila sapu, ni mingi. Na bata zilikuwepo kama kawa kudadex
Jamaa anazungumz8a SUP wengine hata C hawajapata na bata kila weekend
 
Hahahaaa watu hamkosi sababu za kujitete, sasa sup nayo sifa?
 
Kama uwezo wangu hauruhusu kupata supp nilazimishe kupata supp ili tu niwe shujaa?
 
Halafu umeandika kwa Herufi kubwa kuonesha msisitizo..
 
Unakuta mtu anasomea Tourism Arusha university au procurement ya CBE halafu analalamika.... Sijui wa Aerospace Engineering waseme nn...
 
Foundation engineering na RCC ukichomoka hayo we ni mwamba
 
Back
Top Bottom