Kama hujatembea, hujaona mengi

BIG THINKER

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
715
Reaction score
1,578
Hii Dunia ina mambo sna kama HUJATEMBEA huwez kuona mengi,

Kile unachokiona Cha maana Kuna mtu anakipigia deki na kukiacha nje kikinyeshewa mvua.

Kama kuna mwanamke unamuona ni mzuri sana mtaani kwako basi ujue Bado HUJATEMBEA.

Kama mke wako unamuona ni mzuri Sana na unamuonea wivu kwa uzuri wake basi uje Bado HUJATEMBEA.

Kama unaona nyumba uliyojenga ni nzuri sana na ni nyumba ya ndoto zako basi ujue Bado HUJATEMBEA
 
Naunga mkono hoja, kutembea kwa kutoka nje ya kwenu ni elimu kubwa sana.
 
Changamoto ni kiwezeshi cha kutembea huko nje
Siyo lazima utoke nje ya nchi, anzia kwa kutoka nje ya kwenu tu, kunafunguwa sana ubongo na ndiyo mwanzo wa kutoka nje ya nchi kujisomea dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…