Kama Hii umeshawahi Kuiona Wapi Pengine?

Duh! Huyu jamaa sijui atakuwa amemwibia kitu gani Usangu. Ana hasira naye kinoma!
 
Hawa mapolisi wa ccm hawawezi kumkamata huyu mwizi kwani anatoka kijijini kwetu Msoga!!! Huoni hata wale walioiba fedha za barabara ya kutoka Bagamoyo-Msata wakishirikiana na Wakorea nao hawakukamatwa kwasababu wanatoka Msoga!!!
 
inakubalkika kisheria
Ndo tatizo la magamba sheria mkononi,
hizi hasira za bosi kuibiwa mafuta tu!


Sijaelewa kisheria mwenye kutoa tangazo la kumtuhumu mwizi ni nani na linatolewa katika njia gani?

Wataalamu wa sheri saidia hapa!
 
Hawa mapolisi wa ccm hawawezi kumkamata huyu mwizi kwani anatoka kijijini kwetu Msoga!!! Huoni hata wale walioiba fedha za barabara ya kutoka Bagamoyo-Msata wakishirikiana na Wakorea nao hawakukamatwa kwasababu wanatoka Msoga!!!
si nasikia dogo naye ana kampuni ya mafuta na malori lukuki?
 
Hawa mapolisi wa ccm hawawezi kumkamata huyu mwizi kwani anatoka kijijini kwetu Msoga!!!
 
Mahamakama imeshajiridhisha kuwa huyu ndugu ni mwizi au ndio kumdhalilisha tu?
 
Kaondokana na tatizo la gazeti kusomwa mara moja na kusahaulika. Hapo tangazo litasomwa kila siku ili mradi tu gari liwazungukie wananchi! Lazima apatikane huyo! Lol!

Lakini hajalipia BANGO ngoja nifuatilie namba ya gari aje alipie manispaa
 
Lakini hajalipia BANGO ngoja nifuatilie namba ya gari aje alipie manispaa
Ha ha haaa! Hautampata ng'ooooo! Mie ndio mwanasheria wake. Bango lipo kwenye gari yake unataka ailipe manispaa gani wakati yeye anapita kila manispaa anayotaka? Ha ha ha haaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…