View attachment 99563
Only in Tanzania .......tupia na wewe ya kwako........
si nasikia dogo naye ana kampuni ya mafuta na malori lukuki?Hawa mapolisi wa ccm hawawezi kumkamata huyu mwizi kwani anatoka kijijini kwetu Msoga!!! Huoni hata wale walioiba fedha za barabara ya kutoka Bagamoyo-Msata wakishirikiana na Wakorea nao hawakukamatwa kwasababu wanatoka Msoga!!!
Kaondokana na tatizo la gazeti kusomwa mara moja na kusahaulika. Hapo tangazo litasomwa kila siku ili mradi tu gari liwazungukie wananchi! Lazima apatikane huyo! Lol!
Ha ha haaa! Hautampata ng'ooooo! Mie ndio mwanasheria wake. Bango lipo kwenye gari yake unataka ailipe manispaa gani wakati yeye anapita kila manispaa anayotaka? Ha ha ha haaaa!Lakini hajalipia BANGO ngoja nifuatilie namba ya gari aje alipie manispaa