Kama Hii umeshawahi Kuiona Wapi Pengine?

huyu itakuwa kama hajala mke waq boss wake atakuwa katokomea na tanker nzima na mafuta yake.
 
Very Creative and Original. Big up kwa huyo boss, wezi wanauzi sanaaaaa!
 
Very Creative and Original. Big up kwa huyo boss, wezi wanauzi sanaaaaa!
kama ametumia vyanzi vingine sawa vinginevyo nina wasiwasi kwamba watu wa kandoni mwa barabara tu ndio watahusika
 
huyu ni kiboko, ni zaidi ya kumtafuta....
 
Hakika usipo staajabu ya Musa basi yatakustaajabisha ya Firauni!!....katika hali isiyokuwa ya kawaida mwajiri mmoja aliyefayiwa kitendo cha uhalkifu na mfanyakazi wake ameamua kubandika tangazo la kumsaka Mtumishi wake huyo kwa udi na uvumba kwa kubandika Tangazo hilo katika Lori la Mafuta tofauti na wenzake wafanyao hivyo katika Magazeti na televisheni.

Pichani ni Lori hilo la Mafuta T 718 BUK kama lilivyonaswa na Mdau wa Blog hii ya Father Kidevu, Balozi Patrick Lusiano Tsere, maeneo ya Kibamba huku mtafutaji akiahidi donge nono la Dola za Kimarekani 2000 kwa atakae mnasa mwizi wake.
 
kama ametumia vyanzi vingine sawa vinginevyo nina wasiwasi kwamba watu wa kandoni mwa barabara tu ndio watahusika

Ni makusudi sana dunia nzima magari yote yana Plate number mbele na nyuma tuu (Hasa Nyuma). Utafiti unaonyesha kua hizi ndizo sehemu zenye kuvutio kwa mtu yoyote kudaka na kugundua kitu hata kama chombo hicho kipo kwenye mwendo..
 
Kaondokana na tatizo la gazeti kusomwa mara moja na kusahaulika. Hapo tangazo litasomwa kila siku ili mradi tu gari liwazungukie wananchi! Lazima apatikane huyo! Lol!
 
Kaondokana na tatizo la gazeti kusomwa mara moja na kusahaulika. Hapo tangazo litasomwa kila siku ili mradi tu gari liwazungukie wananchi! Lazima apatikane huyo! Lol!
Nimefurahi kukuona MwaJ.........MZIMA?
 
Kaondokana na tatizo la gazeti kusomwa mara moja na kusahaulika. Hapo tangazo litasomwa kila siku ili mradi tu gari liwazungukie wananchi! Lazima apatikane huyo! Lol!
Na hata likinyeshewa na mvua halifutiki, nila kudumu, sipati huyu mwizi kakimbilia wapi, labda burundi...
 
Nimefurahi kukuona MwaJ.........MZIMA?
Mie mzima rafiki, niko busy namtafuta huyo mwizi maana nalitaka hilo donge nono. Hiyo avatar yako khaaaa! Kwani haukushiba mezani?
 
kuna donge nono.........wamezani wamenimalizia dadangu.............si unajua sie huwa wa mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…