Kama hii ni kweli, mmea huu uwekwe kwenye kila kitanda katika hospitali zetu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
1626093965235.png
 
Kama nitakua nimeelewa vizuri huu mmea mbona una sifa kama mimea mingine mingi kwamba inatoa oxygen na kuingiza carbon.

Sisi tunaingiza oxygen ambayo inatolewa na mimea na tutatoa carbon ambayo iinatakiwa na mimea
Kumbuka usiku mimea inavuta oxygen na kutoa carbon dioxide
 
Mkuu nimewaza tu maana nasikia kuna uhaba wa mitungi ya hewa ya oksjeni
Hongera Mkuu kwa kuwa na moyo mzuri na kuwaza chanya..

Ila haipo kama unavyofikiri.. hata huko Mahospitalini unakosikia kuna upungufu huo, basi kuna hewa ya Oxygen ya kutosha kabisa kwenye mazingira yake..

Kilichopo ni kwamba Mgonjwa Mwenyewe ndio anashindwa kuitumia hiyo Oxygen iliyomzunguka, kutokana na sababu tafauti tafauti.
Hapo sasa ndio hiyo Mitungi ya gesi hutumika, ambapo kama ulivyosema huwa michache kulingana na Mahitaji.
 
Back
Top Bottom