Akina sie tunaotumia shower 🚿 unatuweka kundi gani?
Na mvua jeNi kweli aisee...
Japo napata ukakasi kidogo maana kuna madoktori wanatuambiaga tusijizoeshe kuanzia kichwani (hasa kama maji ni ya baridi) eti inaathiri ubongo
Nami najua hii.Ni kweli aisee...