Kama hii ni kweli basi kazi ipo

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Kwamba.

Watu ambao wakienda kuoga kwa kuanzia kujimwagia maji kichwani huwa ni Werevu kuliko wale wanaoanzia Mabegani au Miguuni.

Unaikubali au unaikataa hii?
 
Ni kweli aisee...

Japo napata ukakasi kidogo maana kuna madoktori wanatuambiaga tusijizoeshe kuanzia kichwani (hasa kama maji ni ya baridi) eti inaathiri ubongo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Bila shaka wewe mleta uzi unatokea pande za uswazi, maana huko uswazi bafuni lazima uende na ndoo ya maji. Bafuni hakuna maji tiririka tokea juu.
 
Ni kweli aisee...

Japo napata ukakasi kidogo maana kuna madoktori wanatuambiaga tusijizoeshe kuanzia kichwani (hasa kama maji ni ya baridi) eti inaathiri ubongo
Nami najua hii.
Hata ukiwa na bomba la mvua unaanza na miguu kupanda juu taratibu. Maji ya baridi husababisha mishipa kusinyaa ma hivyo flow ya damu kuwa kubwa na kupasua mishipa mwisho wa siku ndo ile kaanguka wakati anaoga.
 
Mkuu Genta mi hua nnakukubali sana kwa mada zako fikirishi, japo kuna watu humu wasiofikia hata nusu ya talanta yako wataanza kukuponda.
 
Ukiwaangalia hawa akina Hawa nayaamini unayoyasema hawa wanaanziaga mabegani tu
 
Back
Top Bottom