Kama hii habari ni ya kweli, iPhone 6 ni hatari.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,740
Reaction score
104,961
Habari.
Kuna rumors nimesoma kwamba iPhone 6, ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu quarter ya 3, itakua na screen size tofauti tofauti. Sio kama tulivozoea kwamba, kila baada ya miaka miwili, Apple wanaongeza size ya screen kwa 0.5", sasa kuna uwezekano screen zikawa na 4.7" and 5.7". Pia, hizo products zote zinakuja na finger print sensor na eye recognition technology, kwa security matters.

Watu wengi wamekua wakiilalamika kwamba Apple wanatengeneza simu zenye screen ndogo, huku wapinzani wao Samsung, Nokia, HTC, Xperia na wengineo wakizidi kutimiza matakwa ya wateja kwa kuwatengenezea screen size roho zao inapenda.

gsmarena_001.jpg

Sijui watumia iPhones kitambo mtalipokeaje ili ikiwa ni ukweli?
 
Personally napenda simu zenye " kubwa, kama wameamua kufanya hvyo somehow wananivuta...
 
Habari.
Kuna rumors nimesoma kwamba iPhone 6, ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu quarter ya 3, itakua na screen size tofauti tofauti. Sio kama tulivozoea kwamba, kila baada ya miaka miwili, Apple wanaongeza size ya screen kwa 0.5", sasa kuna uwezekano screen zikawa na 4.7" and 5.7". Pia, hizo products zote zinakuja na finger print sensor na eye recognition technology, kwa security matters.

Watu wengi wamekua wakiilalamika kwamba Apple wanatengeneza simu zenye screen ndogo, huku wapinzani wao Samsung, Nokia, HTC, Xperia na wengineo wakizidi kutimiza matakwa ya wateja kwa kuwatengenezea screen size roho zao inapenda.

View attachment 130062

Sijui watumia iPhones kitambo mtalipokeaje ili ikiwa ni ukweli?

First things first, apple wameongeza screen size mara moja tu(iPhone 4s to iPhone 5) so statement ya "kama tulivyozoea, kila baada ya miaka 2" sio sahihi kabisa.

Second, iris scanner is not coming anytime soon and will most likely not be secure by any means. I'm sure wote tunakumbuka what happened with google's face recognition for unlocking the phone. It worked well in a well lit place but miserable in dark places, the same will be with iris scanner. Rule that out.

I'll be the last person kukubali kuwa apple will increase the screen size, wapo very conservative with their devices and screen size change brings more ham than good, they have proved kuwa kuna a market for phones of that size in a way kuwa Samsung, HTC wanakopi with their "mini" devices but only motorola got it right by putting a larger display in a small shell.

I stand corrected but ni vizuri kufuatilia trend ya vitu and not believing all the rumors made up by many "iSheep".
 
Check hapa mkuu: iPhone 6 to come in two sizes, Foxconn leaks claim - GSMArena.com news
 
Kuongeza screen size sio tatizo ila hapo Apple atakuwa kapotoka nionavyo mimi kwa sababu wateja wa Apple walisharizika na bidhaa pasipo complain yoyote ya screen size. Mi binafsi sipendi simu zenye screen kubwa kwa sababu huwa zinaniboa sana
 
bora kwa kweli tuhamie huko itanogaje sasa!!.
Nawait na ahasante kwa info nijichange
 
Kuongeza screen size sio tatizo ila hapo Apple atakuwa kapotoka nionavyo mimi kwa sababu wateja wa Apple walisharizika na bidhaa pasipo complain yoyote ya screen size. Mi binafsi sipendi simu zenye screen kubwa kwa sababu huwa zinaniboa sana

Yaani mkuu! Tuko pamoja kwangu mimi simu ikizidi 4.5 inch hiyo ni kero kwangu.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Iphone ni raha kweli yani hata kuchat ni hatare...tupu..hasa kama umetokea kwenye simu..za kawaida..i.e tochi and the likes..daaah sema naombea hawa jamaa waongeze battery iwe inakaa na charge kwa sana..atleast hata 16 hours daaaahhh
 
First things first, apple wameongeza screen size mara moja tu(iPhone 4s to iPhone 5) so statement ya "kama tulivyozoea, kila baada ya miaka 2" sio sahihi kabisa.

Second, iris scanner is not coming anytime soon and will most likely not be secure by any means. I'm sure wote tunakumbuka what happened with google's face recognition for unlocking the phone. It worked well in a well lit place but miserable in dark places, the same will be with iris scanner. Rule that out.

I'll be the last person kukubali kuwa apple will increase the screen size, wapo very conservative with their devices and screen size change brings more ham than good, they have proved kuwa kuna a market for phones of that size in a way kuwa Samsung, HTC wanakopi with their "mini" devices but only motorola got it right by putting a larger display in a small shell.

I stand corrected but ni vizuri kufuatilia trend ya vitu and not believing all the rumors made up by many "iSheep".

Mkuu mi nigusie apo kwenye iris scanner. Huwezi kusema kuwa kwa sababu google wamefail na hawa nao watafail for the same reason, apo unakosea, kwani mangapi yalianzwa na nokia hayakupamba moto kama yalivopamba moto pale yalipoboreshwa kwa iPhone? Kwa hilo watakiwa washasoma kutokana na makosa waloyafanya google, sasa wao wanakuja na better way of doing it
 
Tech trend would like to have a discussion with you. And I didn't say kuwa because google failed then apple will, please re-read, I said we know how face recognition worked, and performed bad in dark places you don't need rocket science to understand how cameras(especially phone cameras) do not play well with darkness and I don't see it of much use just as awkward it was to use face unlock now trying it for the eye.

Apple did execute fingerprint reader right where the motorola atrix failed, I can only see them improving on the fingerprint reader because it is a natural thing to do every time you use the iPhone, BTW why change something that already works? If it ain't broken there's no need to fix it.... as for the iris scanner I can imagine samsung/LG do it we all know how they like gimmicks

If there's anyone to come up with iris scanner ni samsung, just to top apple's touch id, the competition is heating up.

Back to the topic, any rumors outside Cupertino is a plain guess work and fantasy of apple fanboys, even major publications get it wrong all the time with the rumor mill, and I can go on to cite a ton of cases were these renders and rumors proved to be nothing but lies and unreal.
 
iSheep? ub16 whats that?
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio ile inaweza kua kama projector pia?
 
Back
Top Bottom