Kama Henry Joseph ni Babu basi Yondani ni Kikongwe

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
NASHANGAA baadhi ya mashabiki wanasema eti Kim amemchagua BABU Taifa Stars! Jamani hivi baadhi ya watu wameanza kupenda soka sijui mwaka jana! Maana ninavyokumbuka ni kwamba Henry Joseph na Kelvin Yondani waliletwa mazoezini Simba siku moja mwaka 2005 au na 2006 hivi pale kwenye uwanja wa Chuo cha Bandari wakitokea Makongo Sekondari wakiwa makinda kabisa! Tena aliyewaleta ni Julio! walichukua muda kidogo hadi kukubalika Simba! Leo kuna mashabiki wanamwita Mzee ina maana hata Kelvin ni BABU Stars? Labda kidogo wanaodai ameona wapi kiwango chake ndiyo wana mantiki, lakini hawa wanaomwita BABU hawa ni mashabiki wapya wa soka Tanzania!!
 
Ana miaka 28 wakati Kiemba, Chuji, Kaseja na wengine wako over 30!

Lakini swali la msingi ambalo kocha wa Taifa Stars hajajibu ni amefuatilia vipi kiwango chake? Wasiwasi wa wadau hapo, ndio maana hukusikia watu wakihoji uteuzi wa Jonas Mkude
 
Hao ni washabiki wa Yanga. Mwaka huu mtamkoma YM, amewaletea Katibu Mkuu kutoka nchi jirani akamtimua Mwalusako, na hivi ninavyoandika kule jangwani hakukaliki wala kahawa hainyweki, wazee wamekuja juu na hawamtaki Manj!
 
Duu henri akiwa na 28 basi kiemba ana 22,. Afu naswali nauliza hivi kwanin simba haiuzi wachezaji ulaya zaidi unawapeleka kuzulula tu make wanarudi wamechoka wamechakaa wamezeeka mno kwanini au wanenda uza sembe
Ana miaka 28 wakati Kiemba, Chuji, Kaseja na wengine wako over 30!

Lakini swali la msingi ambalo kocha wa Taifa Stars hajajibu ni amefuatilia vipi kiwango chake? Wasiwasi wa wadau hapo, ndio maana hukusikia watu wakihoji uteuzi wa Jonas Mkude
 
NASHANGAA baadhi ya mashabiki wanasema eti Kim amemchagua BABU Taifa Stars! Jamani hivi baadhi ya watu wameanza kupenda soka sijui mwaka jana! Maana ninavyokumbuka ni kwamba Henry Joseph na Kelvin Yondani waliletwa mazoezini Simba siku moja mwaka 2005 au na 2006 hivi pale kwenye uwanja wa Chuo cha Bandari wakitokea Makongo Sekondari wakiwa makinda kabisa! Tena aliyewaleta ni Julio! walichukua muda kidogo hadi kukubalika Simba! Leo kuna mashabiki wanamwita Mzee ina maana hata Kelvin ni BABU Stars? Labda kidogo wanaodai ameona wapi kiwango chake ndiyo wana mantiki, lakini hawa wanaomwita BABU hawa ni mashabiki wapya wa soka Tanzania!!

Yondani hata kama ana miaka 50 kiwango chake kinajulikana ,anastahili kuchezea kikosi cha kwanza,tuambie mara ya mwisho umemuona Henry Joseph ni lini?
Kiwango chake kiko vipi kwa sasa
 
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Yondani hata kama ana miaka 50 kiwango chake kinajulikana ,anastahili kuchezea kikosi cha kwanza,tuambie mara ya mwisho umemuona Henry Joseph ni lini?
Kiwango chake kiko vipi kwa sasa

Hiyo nimeikubali mkuu....
 
NASHANGAA baadhi ya mashabiki wanasema eti Kim amemchagua BABU Taifa Stars! Jamani hivi baadhi ya watu wameanza kupenda soka sijui mwaka jana! Maana ninavyokumbuka ni kwamba Henry Joseph na Kelvin Yondani waliletwa mazoezini Simba siku moja mwaka 2005 au na 2006 hivi pale kwenye uwanja wa Chuo cha Bandari wakitokea Makongo Sekondari wakiwa makinda kabisa! Tena aliyewaleta ni Julio! walichukua muda kidogo hadi kukubalika Simba! Leo kuna mashabiki wanamwita Mzee ina maana hata Kelvin ni BABU Stars? Labda kidogo wanaodai ameona wapi kiwango chake ndiyo wana mantiki, lakini hawa wanaomwita BABU hawa ni mashabiki wapya wa soka Tanzania!!

Unashanga ya Henry Joseph je Mombeki si anaonekana kijana kumbe mhhh muulize yeye Henry Joseph anamjua vizuri,

Ukubwa na udogo wa wachezaji wa kibongo ni kuwai kucheza ligi na kuchelewa tu hakuna miaka kamili,

Mbona hawahoji kuchaguliw kwa Sammy Kessy timu ya Taifa au sababu anachezea Mtibwa?
 
Ana miaka 28 wakati Kiemba, Chuji, Kaseja na wengine wako over 30!

Lakini swali la msingi ambalo kocha wa Taifa Stars hajajibu ni amefuatilia vipi kiwango chake? Wasiwasi wa wadau hapo, ndio maana hukusikia watu wakihoji uteuzi wa Jonas Mkude

Umri wa mchezaji usiwe hoja bali kiwango cha mpira wake basi. Akina Pirlo na miaka 35 bado wanacheza. Kama bado kiwango anacho basi achaguliwe.
 
Duu henri akiwa na 28 basi kiemba ana 22,. Afu naswali nauliza hivi kwanin simba haiuzi wachezaji ulaya zaidi unawapeleka kuzulula tu make wanarudi wamechoka wamechakaa wamezeeka mno kwanini au wanenda uza sembe

Kama nani kachoka? Na anakuwa amerudi baada ya miaka mingapi? Wewe unataka mtu aliyeondoka 2009 baada ya kuwa amecheza ligi ya bongo kwa zaidi ya miaka 5 arudi akiwa vilevile
 
Kasome mwanasport ya juzi kilichomfanya henry akimbie kule ninini acha kubwabwaja apa, ulizia machupa, staki kukwambia kuhusu kapombe

Nilishasoma tangu juzi hiyohiyo, sijaoni habari inayohusiana na kitu ulichokiandika. Hebu tiririka kwa maneno yako mwenyewe sio ya kwenye gazeti.
 
Aliona atakufa njaa ili aendelee kubaki ulaya ooo akatoka nduki ka kakamatwa ugodi kuja pale msongamanoni kariakoo,..

Back
Top Bottom