Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 409
- 138
Wewe ni gamba na fisadi mkubwa unayetaka kuonyesha jamii kwamba we are all sinners na hivyo tuachane na kupinga ufisadi. Shame on you
mkatakiu, hii hasira unayojaribu kuiionesha hapa inadhihirisha wazi kabisa umeguswa tena sana na waswahili husema "ukweli unauma" kwa maana hiyo kuna sehemu/eneo katika hii "ORODHA MPYA YA MAFISADI" na wewe umo. hata hivo napenda kumwambia vile vile kigarama kuwa hata yeye yumo na ndo maana kafikiria na kutuletea yale ambayo na yeye anayashiriki, kwa maana hiyo yawezekana kigarama akawamo kwa yote yaliyotajwa, hongera sana kigarama kwa kuongoza kwa ufisadi.......!