Mwanachama mwenzangu hiki ndicho kipimo chako sioUongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.
Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.
Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Nisaidie kumwelimisha huyo anayepim uchumi wa nchi kwa uchaguzi wa watu 43! Naamini hapo alipo anaona haya kwa ubongo wake kumruhusu kuandika hivi.Mwanachama mwenzangu hiki ndicho kipimo chako sio
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.
Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.
Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
Simple logic; kama uchumi ni mbaya serikali itashindiwa kutimiza majukumu yake ya msingi.Waziri wa fedha: Deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 nadni ya mwaka mmoja
Uchumi unakua lakini pesa ya kukomboa pangaboi imewashinda, nyongeza ya mishahara imewashinda wanafunzi 31,000 wa elimu ya juu wamekosa mkopo!
Kweli muongo haachi asili!
Kama ingetokea uchaguzi kusogezwa mbele, hilo lingetumika kama reference ya kuonesha kuwa ni kweli kuna hali mbaya ya uchumi. Ila kwa kua hilo sasa halipo mmekosa cha kuongea.Nisaidie kumwelimisha huyo anayepim uchumi wa nchi kwa uchaguzi wa watu 43! Naamini hapo alipo anaona haya kwa ubongo wake kumruhusu kuandika hivi.
Kata 43; think ndugu. Mikopo vipi ya wanafunzi?mbona unajidhalilisha?Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.
Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.
Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
Imemshinda huku inakwenda nakumbuka kauli ya KUB ya kwanza bungeni kuwa nchi imefilisika lkn anashangaa bado analipwa mshahara na stahiki zake zote kila mwezi bila kuchelewa.Donor country....na mwendo kopa kopa!!!....tusidanganywe na mpenda sifa....tunajua nchi imeyumba sanaa na imemshinda!!! Busara busara busara

Nchi iliyofilisika inakopesheka?Jamaa stroke huna dalili kabisa ya kuacha ujinga..
Umesikia deni la Taifa jana lililotangazwa bungeni na Dr Mpango..?!
Nyau kabisa.
Running out of ideasUongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.
Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.
Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
We kweli ni bure kabisa! Kwani serikali kuishiwa ndio zikosekane hizo bil 2 au 3?Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.
Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.
Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
Mfano mzuri ni Ugiriki. sasa wapinzani wanavyozungumzia hali yetu ya kiuchumi utadhani tumefikia kama zimbabwe au Ugiriki. Hawa jamaa ni mabingwa wa kuzusha ili wapate umaarufu wa kisiasa, na kuandikwa magazetini eti " Fulani kasema"Imemshinda huku inakwenda nakumbuka kauli ya KUB ya kwanza bungeni kuwa nchi imefilisika lkn anashangaa bado analipwa mshahara na stahiki zake zote kila mwezi bila kuchelewa.