Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,912
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.
Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.
Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.