Kama hali ya uchumi ni mbaya; Uchaguzi wa madiwani ungeahirishwa

nakuunga mkono kwa 100% uchaguzi usifanyike mpaka 2050 maana hali ya uchumi ni mbaya na hatuna hela za kugharamia uchaguzi, na anayetaka uchaguzi ufanyike basi augharamie tutashiriki..
 
Kama ingetokea uchaguzi kusogezwa mbele, hilo lingetumika kama reference ya kuonesha kuwa ni kweli kuna hali mbaya ya uchumi. Ila kwa kua hilo sasa halipo mmekosa cha kuongea.
Katafuteni mambulula ya kufanganya but huku kwetu tunazingatia vigezo na masharti ya kukua kwa uchumi negatively or positively na siyo vinginevyo! Tangu lini uchaguzi wa gharama ya 2.7b ukawa kipimo cha kukua kwa uchumi?
 
Unaishi chini ya jiwe? Kwani niliyoyaandika hapo ni majukumu ya nani? Hujasikia kuhusu bajeti hewa ya 29 trillions na zilizotolewa ni 35% hiyo 65% ni majukumu ya nani kuitoa?

Simple logic; kama uchumi ni mbaya serikali itashindiwa kutimiza majukumu yake ya msingi.
 
Kwani mkopo haulipwi? Lkn wanaokopesha nao wanaangalia km nchi inakopesheka ama la. Nchi iliyoanguka kiuchumi inapoteza sifa ya kukopesheka.
Taja nchi isiyokopesheka. Hapo tukishindwa wanakuja kuchota madini kimya kimya basi mnaambiwa mnaweza kukopesheka au we unadhani hizi bodaboda za kichina zimekuja bure ndo mambo kama hayo ukishindwa kulipa then nunua vitu vyangu hata kama vibovu
 
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.

Jamani jamani, yani bil 2 ndo unasema serikali ina hela?? Acheni utani basi tuwe serious na masuala
 
Kuna wapinzani wao ndio wanataka uchumi uwe mbaya ili wapate sababu za kupiga kelele

Na sasa walicho amua ni kuuhujumu ili uwe mbaya kweli

Mfano kupotosha taarifa za ukuwaji wake, kupotosha taarifa za makusanyo ya kodi na kuchezea exchange rate

Kwa hiyo kama uchumi unakuwa wapinzani ndio wamesababisha yafuatayo:

1. wamesababisha tunakopa sana hadi deni la taifa linafikia matrilion?

2. wamezuia serikali wasilipe deni la kukomboa ndege yetu iliyozuiliwa kutokana na maamuzi ya kukurupuka?

3. wamekataza serikali wasitoe nyongeza ya mishahara?

4. Wanafunzi elf 31 na zaidi wasipate mikopo?

5. Huduma za hovyo kila mahali?

TENDA HAKI NA MUMGU HATAKUACHA
ACHA UJINGA PENDA NCHI YAKO
 
Donor country....na mwendo kopa kopa!!!....tusidanganywe na mpenda sifa....tunajua nchi imeyumba sanaa na imemshinda!!! Busara busara busara

http://learn.stashinvest.com/10-countries-with-largest-national-debt-to-gdp

Top 10 Countries with Largest National Debt-to-GDP in 2017

We live in a time where interest rates are at historic low levels in some of the world’s wealthiest nations. In some countries, interest rates have even been reduced to negative levels.

Low interest rates mean cheaper repayments, which makes it easier for governments, corporations and individual to borrow and service their debts. When a country’s national debt is reported, it’s a measure of the total amount a central government has borrowed and needs to repay.

Nevertheless, a country’s national debt is different from the debt that consumers typically take on via credit cards or their banks. Government debt is the account of all money that a nation’s central government has borrowed, but not yet paid back with taxes collected. A government goes into debt when it fails to collect enough revenue and taxes to cover spending. That shortfall is called a deficit, but it adds to the national debt.

In fact, if you own Uncle Sam, an investment available on the Stash Invest app, you are buying debt issued by the United States Department of the Treasury to finance the U.S. national debt.

Would you like to invest in U.S debt? Stash Learn is giving new investors a special $5 sign-up credit to get started by just subscribing here. You can use those $5 to invest in Uncle Sam or other investments available in the Stash app.

If you list the countries with the highest amounts of national debt by dollar value alone, the United States tops the list easily with more than US$19.86 trillion. China comes in second, with a gross national debt level of US$10.17 trillion, followed by Japan with US$9.08 trillion.

Yet, rather than list the top countries with the largest national debt by dollar value, a more meaningful metric for analysts is to see how countries rank based on their gross government debt-to-GDP ratio. Here are the top 10 countries with the largest national debt-to-GDP ratios in 2017.

1. Japan
  • National Debt: ¥1,028 trillion ($9.087 trillion USD)
  • Debt per Capita: $71,421 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 220.82%
  • Population: 127.2 million
  • Currency: Japanese Yen (¥)
Japan’s government debt is less than half that of the United States in terms of dollars. However, the Japanese national debt is more than twice its GDP, indicating that it may be in a difficult financial position. The country’s economy is growing at a slower rate than economists have anticipated for years, consequently its central bank has resorted to negative interest rates in an effort to stimulate the economy. While Japan’s current debt-to-GDP ratio is staggering, it has decreased from its record high of 250.4% in 2016.

2. Greece
  • National Debt: €332.6 billion ($379 billion US)
  • Debt per Capita: $35,120 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 179%
  • Population: 10.8 million
  • Currency: Euro (€)
On the surface, Greece’s national debt of $379 billion US hardly seems smaller than most. But its high debt-to-GDP ratio, high unemployment levels across the country, and the continuing struggle to keep up with existing debt repayments are problematic. International creditors have bailed out the country numerous times since its debt crisis began in 2010, and government spending remains austere in an effort to get debt levels back under control.

3. Portugal
  • National Debt: €232 billion ($264 billion US)
  • Debt per Capita: $25,538 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 138.08%
  • Population: 10.37 million
  • Currency: Euro (€)
Portugal has been struggling through a financial crisis since 2010 and has received various bailouts from international creditors in the years since. While Portugal has reportedly returned to a level of fiscal health, its level of national debt still exceeds its GDP, indicating that the nation’s financial woes are not yet over. At the end of 2016 Portugal recorded a government debt-to-GDP ratio of 130.4%. That percentage has risen to 138.08% by the middle of 2017. Portugal’s weak economy and slow growth throughout the third quarter of 2016 have sparked fears that the country may see its credit ratings downgraded in the near future.

4. Italy
  • National Debt: €2.17 trillion ($2.48 trillion US)
  • Debt per Capita: $40,787 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 137.81%
  • Population: 60.8 million
  • Currency: Euro (€)
The country is still struggling with slow economic growth and high unemployment levels, following a triple-dip recession in the years after 2007. Throughout the first quarter of 2017, Italy’s €17b banking crisis reared its head again after years of festering under the radar.

5. Bhutan
  • National Debt:$2.33 billion (USD)
  • Debt per Capita: $2,993 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 118.6%
  • Population: 774,830
  • Currency: Bhutanese Ngultrum
Bhutan is a small Asian country with close economic ties to India. The nation relies heavily on India for financial assistance, but also depends on the availability of foreign workers to support its infrastructure. At the end of 2016, Bhutan recorded a government debt-to-GDP ratio of 118.6%, an increase of 19.92% from its ratio of 98.9% at the end of the previous year.

6. Cyprus
  • National Debt: €18.95 billion ($21.64 billion USD)
  • Debt per Capita: $25,551
  • Debt-to-GDP Ratio: 115.47%
  • Population: 847,008
  • Currency: Euro (€)
Cyprus’s exposure to Greece caused a number of economic problems within the country. From 2012 to 2013, Cyprus experienced a financial crisis that was a combined result of Cypriot banks being over-exposed to over leveraged property companies and its proximity to the Greek financial crisis. The country received an international bailout of €10 billion ($11.4 billion USD) in the first quarter of 2013 following the failure of its second-largest bank. Since that time its national debt-to-GDP ratio has slowly climbed from 102.2% in 2013 to 115.47% in mid-2017.

7. Belgium
  • National Debt: €399.5 billion ($456.18 billion USD)
  • Debt per Capita: $30,518 USD
  • Debt-to-GDP Ratio: 114.78%
  • Population: 11.25 million
  • Currency: Euro (€)
Belgium is the seat of the wealthy Eurozone’s government. Yet the nation is still caught under the burden of high national debt levels. Belgium has few natural resources and is reliant on importing substantial quantities of raw materials. The country’s national debt-to-GDP ratio has been hovering above 105% since 2013.

8. United States of America
  • National Debt: $19.23 trillion (USD)
  • Debt per Capita: $61,231 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 106.1%
  • Population: 324.35 million
  • Currency: US Dollar
The United States is the world’s largest economy and it also has the highest level of national debt. While its national debt levels exceed the country’s GDP in 2017, in 2007, the U.S. debt-to-GDP ratio was at just 62.5%. The U.S. government spends around 6% of its annual budget just repaying the interest payments on its debt, which significantly reduces the amount of money available to pay for other programs. In order to repay such a massive debt, the government could decrease spending, which could impede economic growth, or increase taxes to raise revenue.

9. Spain
  • National Debt: €1.09 trillion ($1.24 USD)
  • Debt per Capita: $26,724 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 105.76%
  • Population: 46.7 million
  • Currency: Euro (€)
Spain’s economic woes have been well publicized in recent years, although experts predict the country’s economic growth will be robust throughout 2017. The level of national debt relative to GDP has been slowly decreasing over the past two years, but still remains a concern to economists.

10. Singapore
  • National Debt: $350 billion ($254 billion US)
  • Debt per Capita: $45,915 (USD)
  • Debt-to-GDP Ratio: 104.7%
  • Population: 5.54 million
  • Currency: Singapore Dollar
Singapore is considered one of the richest countries in the world, yet it has a high national debt-to-GDP ratio. The country’s economic growth slowed to 0.6% in 2016, its lowest level since the global financial crisis of 2008. Throughout the first two quarters of 2017 it has been widely reported that the growth rate of Singapore’s economy is slowing further, with the country at risk of sinking into a recession.
 
kuna watanzania wenzio wakiandika post kama hizi unaomba asitokee msomaji asiye mtanzania akasoma...aibu. Hivi nani aliyesema nchi ikiwa na hali mbaya kila shughuli ya serikali inasimama? maana kuna mpuuzi mwingine anajenga hoja eti "kama serikali ina hali mbaya ya kiuchumi, mbona inalipa mishahara watumishi wake". ELIMU ELIMU ELIMU!!! Hivi wewe ukifulia ina maana kila shughuli yako inasimama? Hautakula, Hautasafiri, Hautalipa bill/mchango wa umeme au maji, hautanunua airtime ya simu, hautavaa nguo nk nk nk? CCM mmeishiwa puuzi kwa aina ya utetezi mnaoutoa humu kwenye mitandao.
 
Mfano: Mimi mfanyakazi wa serikali ngazi ya kati niwe na jumla ya deni la shs 1,320,000 lakini Mohamed Dewji awe na deni la shs 320,000,000. Unamaanisha mimi niko vizuri kiuchumi kuliko MO?
 
Mfano mzuri ni Ugiriki. sasa wapinzani wanavyozungumzia hali yetu ya kiuchumi utadhani tumefikia kama zimbabwe au Ugiriki. Hawa jamaa ni mabingwa wa kuzusha ili wapate umaarufu wa kisiasa, na kuandikwa magazetini eti " Fulani kasema"
Umewahi kusikia Zimbabwe wanaghairisha uchaguzi mkuu?

Kama kipimo cha uchumi kuyumba ni Zimbabwe basi fuatilia chaguzi zao Stroke. Wanafanya hadi hepi besdei ya Mugabe kwa Mabilioni aisee.
 
Mfano: Mimi mfanyakazi wa serikali ngazi ya kati niwe na jumla ya deni la shs 1,320,000 lakini Mohamed Dewji awe na deni la shs 320,000,000. Unamaanisha mimi niko vizuri kiuchumi kuliko MO?
Unavyokopa zaidi ndivyo inaonyesha uchumi wako unakuwa vizuri. Mara nyingi kama siyo mara zote masikini huwa hana deni, ukikuta sanasana kadaiwa ni deni kakopa chumvi robo kilo. Na huyu masikini akienda kukopa hata elfu 10 ni mashaka sana kukopeshwa hiyo elfu 10, hawampi je unajua kwanini wanaogopa kumkopesha elf 10 tu?
 
kuna watanzania wenzio wakiandika post kama hizi unaomba asitokee msomaji asiye mtanzania akasoma...aibu. Hivi nani aliyesema nchi ikiwa na hali mbaya kila shughuli ya serikali inasimama? maana kuna mpuuzi mwingine anajenga hoja eti "kama serikali ina hali mbaya ya kiuchumi, mbona inalipa mishahara watumishi wake". ELIMU ELIMU ELIMU!!! Hivi wewe ukifulia ina maana kila shughuli yako inasimama? Hautakula, Hautasafiri, Hautalipa bill/mchango wa umeme au maji, hautanunua airtime ya simu, hautavaa nguo nk nk nk? CCM mmeishiwa puuzi kwa aina ya utetezi mnaoutoa humu kwenye mitandao.
kipimo cha bavicha kwamba uchumi umeshuka ni kipi? au ni kauli za mwenyekiti na Mange pia??
 
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.

Unajichoresha wewe mzee, jana Waziri wa fedha kasema deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17. Leo rais kakiri kwamba miradi mingi inaendeshwa kwa mikopo kisa nchi yetu inakopesheka. Sasa kama una uchumi mzuri unakopa hela nyingi hivyo kwa muda mfupi kwanini?
 
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
Mkuu kama ni kweli serikali haina pesa,labda tuanze kufunga bunge hadi kupata katiba mpya .
Pili kama pesa hakuna achia wananchi ruksa wajitafutie risiki zao kama wakati wa Mzee Ruksa.
Tatu uhuru wa mawazo ni muhimu kwani kila binadamu ana umuhimu wake,kusema mimi ndio tu mwenye upeo na wengine hawajui kitu ni kumkosea Muumba.
 
Ningeshauri wakati mwingine kazi ya diwani afanye mtendaji kata kama diwani hayupo
 
Back
Top Bottom