Kama hali ya uchumi ni mbaya; Uchaguzi wa madiwani ungeahirishwa

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,631
40,789
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
 
Donor country....na mwendo kopa kopa!!!....tusidanganywe na mpenda sifa....tunajua nchi imeyumba sanaa na imemshinda!!! Busara busara busara
 
Mwanachama mwenzangu hiki ndicho kipimo chako sio
 
Kuna wapinzani wao ndio wanataka uchumi uwe mbaya ili wapate sababu za kupiga kelele

Na sasa walicho amua ni kuuhujumu ili uwe mbaya kweli

Mfano kupotosha taarifa za ukuwaji wake, kupotosha taarifa za makusanyo ya kodi na kuchezea exchange rate
 
Waziri wa fedha: Deni la taifa limeongezeka kwa asilimia 17 nadni ya mwaka mmoja

Uchumi unakua lakini pesa ya kukomboa pangaboi imewashinda, nyongeza ya mishahara imewashinda wanafunzi 31,000 wa elimu ya juu wamekosa mkopo!

Kweli muongo haachi asili!

Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
 
stroke you are better than this please ..... kwani kukopa kumeshindikana? Think rationally I know you are better than this acha kujitoa ufahamu
 
Nisaidie kumwelimisha huyo anayepim uchumi wa nchi kwa uchaguzi wa watu 43! Naamini hapo alipo anaona haya kwa ubongo wake kumruhusu kuandika hivi.
Kama ingetokea uchaguzi kusogezwa mbele, hilo lingetumika kama reference ya kuonesha kuwa ni kweli kuna hali mbaya ya uchumi. Ila kwa kua hilo sasa halipo mmekosa cha kuongea.
 
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
Kata 43; think ndugu. Mikopo vipi ya wanafunzi?mbona unajidhalilisha?
 
Donor country....na mwendo kopa kopa!!!....tusidanganywe na mpenda sifa....tunajua nchi imeyumba sanaa na imemshinda!!! Busara busara busara
Imemshinda huku inakwenda nakumbuka kauli ya KUB ya kwanza bungeni kuwa nchi imefilisika lkn anashangaa bado analipwa mshahara na stahiki zake zote kila mwezi bila kuchelewa.
 
Jamaa stroke huna dalili kabisa ya kuacha ujinga..
Umesikia deni la Taifa jana lililotangazwa bungeni na Dr Mpango..?!
Nyau kabisa.
Nchi iliyofilisika inakopesheka?
 
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
Running out of ideas
 
stroke lini utaheshimika? au akili yako ni pungufu? kwani unapoambiwa hali ni mbaya ndo uchaguzi usifanyike? au wewe hujawahi kukosa hela na ukafanya maarifa familia ikapata chakula?
 
Uongo wa wapinzani Juu ya hali mbaya ya kifedha kwa Serikali unazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyozidi kwenda mbele kutokana na namna Serikali inavyoweza kutimiza wajibu wake bila kutetereka.

Uchaguzi wa madiwani kwa kata 43 hapa nchini utakaofanyika tarehe 26 November,2017 utaigharimu NEC kiasi cha shilingi Bilioni 2.5.

Kama ni kweli hali ni ngumu kama data za kupika za wapinzani zinavyotolewa bila Shaka kabisa Serikali ingeahirisha Chaguzi hizi na kusubiri mpaka wakati mwingine ama mpaka 2020 kwa kukosa fedha.

Hiki ni kiashirio tosha kuwa wapinzani wamekosa hoja na kubakia Katika siasa za upotoshaji na kurukia mambo bila kuwa na uhakika Katika lolote wanalolisema.
We kweli ni bure kabisa! Kwani serikali kuishiwa ndio zikosekane hizo bil 2 au 3?
Hizo ni sawa na wewe kuishiwa lakini hela ya lunch kwa mama ntilie ukawa nayo!
Kwani kwa hiyo hela ya lunch pekee kuwa nayo utajiita uko vizuri kiuchumi?
Hayo yatakuwa mawazo ya kimasikini kama alivyo baba yenu!
 
Imemshinda huku inakwenda nakumbuka kauli ya KUB ya kwanza bungeni kuwa nchi imefilisika lkn anashangaa bado analipwa mshahara na stahiki zake zote kila mwezi bila kuchelewa.
Mfano mzuri ni Ugiriki. sasa wapinzani wanavyozungumzia hali yetu ya kiuchumi utadhani tumefikia kama zimbabwe au Ugiriki. Hawa jamaa ni mabingwa wa kuzusha ili wapate umaarufu wa kisiasa, na kuandikwa magazetini eti " Fulani kasema"
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom