Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,871
Kwa hiyo haipo situation duniani ambayo watu wanaachana???Halafu watu huwa hawaachani... huwa kuna kuacha na kuachwa 🙂 🙂 😉😉
Lazima apatikane muumiza na muumizwa kwenye hii kitu

LFD
Moyo wa mtu upenda mara moja, wanaofuata= bora tuishi.