Kama haki itatendeka ndani ya CC ya CCM, Dkt Salim A Salim ndie Rais bora ajaye

Ulivyo mjinga unawafananisha wagombea wa CCM na bata!
Duh..... kweli kabisa mkuu Mzito Kabwela, huyo gamba amediriki kuwafananisha maccm wenzake na bata?

Cha ajabu hao Sisiem wenzake badala ya kuchachamaa, wamebaki wanachekelea na kushangilia kwa hilo 'tusi' walilotukanwa!
 
MAHANJU

Sorry, He would have been in 2005. He would have done a better job. He is not what he was in 2005 and furthermore, I doubt his resolve to root out mega corruption and deal with the whales and sharks. Tunahitaji mfumo mzima uwe overhauled ili kujenga institutions. Sioni kwenye CCM atakayeanza kwa kuifuta katiba pendekezwa ambayo ndiyo chanzo cha matatizo.

Mr SAS is able and he was among of Warioba's Commission members, Let's trust him now, he can do better.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni wakati wa mkristo kutawala, haya majina yenu ya kiarabu musahau wakati huu
 
Tehetehetehetehetehe. UKAWW watasimamisha pumba na hivyo bata kula hizo pumba zao na wao kuambulia patupu

Mkuu mbona michango yako mingi humu haina maadili wala tija? Mbona kila ukichangia unachangia kitoto Toto sana bala adabu? Uwezo wa ubongo wako unatia shaka.
 
Haki kwenye chama cha rushwa?
Tumepoteza miaka kumi. Tusipoteze mingine kumi tena.
Tutakosa wa kumlaumu!
 
J P Magufuri Na Wengine 31.. Wako Ndani Ya Serikari Legevu Iliyopo Madarakani.. Wameshindwa Kutumia Nafasi Zao Hata Kwa Kusema Tu, Kama Siyo Kukemea Maovu.. Wamekuwa Sehemu Ya Maovu yaliyopo, Wamejinufaisha Kwa Ulegevu Wa Serikari Yao.. Hao Hao Watoe Ahadi Za Kurekebisha Mambo Wakiingia Ikulu.. Ujinga Wetu Watanzania Ndo Unaowanufaisha Hawa..
 
Akichukuwa fomu ya kuwania urais nina uhakika atatusumbuwa sana UKAWA.lakini nasikia alishasema hataki tena urais.labda ccm wamfate wakamuombe msamaha si unakumbuka matusi na kashfa walizompa huyu jamaa mwaka 2015 mkuu?

Angalia vizuri huo mwaka ulioandika hapo, rekebisha.

Tiba
 
Kwa mazingira ya siasa za sasa ambapo waislam wamekuwa wakiandamwa na maadui wa taifs hili hasa wale wanaoona kuwa wenye dini yao tu ndo wanastahili kuongoza, sioni nafasi ya Salim kwenye mfumo huu dhalimu. Pia kuna kautamaduni ka kubalilishana baina ya Waislam na Wakristo katika nafasi ya Urais. Ni utamaduni mzuri japo una kasoro zake
...inferiority complex!.. I never thought yo could bring us such a comment.
 
Wasalaam wanajukwaa!

Nadhani kila mtu anamjua huyu mwanamapinduzi,mwanadiplomasia aliyebobea wa siasa za kitaifa na kimataifa,Waziri mkuu mstaafu, katibu mkuu mstaafu wa Umoja wa Africa(AU),Mtumishi wa umma wa miaka mingi asiyekua na doa katika uongozi wake!

Huyu ni kiongozi aliyewahi kutia nia kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka ya nyuma ndani ya CCM lakini rafu za kimakundi zikamchezea!

Ni mtu mwenye maono na anayekubalika kila kona ya dunia, Hakika hii ndio dhahabu ambayo CCM hakitakiwi kucheza nayo, Kama kweli inavyosemekana kua atachukua form ya kuwania urais naye wiki ijayo basi ndiye atakayemaliza kazi maana mpaka hapa kwa waliotia nia wote hakuna wa kufanana naye!

Ni mtu ambaye kwakweli kama atapitishwa ndiye atakayewapa wakati mgumu sana upinzani nchini.

Huyu mzee ni Turufu ya Taifa.

With all glories and goddies from Dr Salim, we do not need another Muslim in the state house. This time tumpate hata kama ni mlokole lakini waislam hapana. Angalia polisi wote wako chini ya waislam, parastatal organs kubwa ziko chini ya waislam na ajira sasa hivi ukisema jina lako Abdallah, there is highest change utapewa interview. Imetosha yahe..
 
Maovu yote yaliyofanyika chini ya serikali za awamu ya pili,tatu na nne alikuwepo na wala hatukuwahi kumsikia akikemea iwe ndani ya vikao vya ccm au popote pale. Chini ya uongozi wa maraisi hao biashara zilifanyika ikulu iliyoitwa mahali patakatifu na baba wa taifa hili. Ufisadi wa kutisha wa kuuza nyumba za serikali kwa bei za kutupa tena wengine wakiwa wala sio wafanyakazi wa serikali. Uuzwaji wa mashirika ya umma kwa bei za kutupwa na kwa upendeleo mkubwa. Inasemekana wawekezaji wengi waliuza mitambo waliyoikuta na kuyafanya mastoo yao.Sehemu nyingine motor moja tu katika viwanda hivyo iliweza kurudisha gharama za ununuzi wa kiwanda. Waliokuwa wafanyakazi wa viwanda hivyo na walioaminishwa wawekezaji watavifufua viwanda na ajira zao kuendelea walirushwa nje hata bila kulipwa stahiki zao.Nayo mabenki na viwanja vya ndege yaliuzwa kwa bei zisizo kwenye soko alimradi wazee wameshapokea milungula yao. Ukafuata ufisadi mkubwa wa meremeta na nduguze,majengo pacha b.o.t.,richmond na nduguze hadi kufikia escrow na mikataba yote ya kinyonyaji iliyofanywa na viongozi bila kusahau ya radar. Yote hayo hatukumsikia akikemea hata kwa kunena tu.Mimi nasema kwa watia nia wote kupitia ccm walipo bado kwenye uongozi na hata waliostaafu au kustaafishwa,kuwajibishwa au kufukuzwa hayupo anaeweza kudai kuliongoza taifa na kuturudishia matumaini zaidi ya Makongoro Nyerere. Labda kama watapimwa kwa ukubwa wa kashfa zao.Tatizo kubwa la uongozi wa nchi hii ni mfumo uliopo ccm na serikali yake. Unafuu wa serikali na baraza atakalounda Makongoro ni kuwa serikali yake haitakuwa na ubia na viongozi walipo madarakani na watakaoondoka baada ya muda wao kumalizika. Hivyo kwa kuwa atakuwa m/kiti wa chama na raisi wa nchi ni rahisi kuubadilisha mfumo bila kuwa kwenye makwapa ya yeyote.Kwa kumtazama tu Makongoro unaamini kabisa atafanya hivyo kwa manufaa ya wananchi na kuthibitisha hilo alipokuwa m/kiti mkoa wa Mara alikemea mara nyingi chama kutumiwa vibaya na kuvunjwa taratibu makusudi kabisa. Vinginevyo achaguliwe raisi toka ukawa nae serikali yake haitakuwa na ubia na yeyote na ni rahisi kubadilisha mienendo yote mibovu iliyopo na ikibidi kurejesha mali na fedha zote za umma zilizoibwa na mafisadi. Hilo hata Makongoro anaweza sana ikiwa ni kurudisha na azimio la Arusha na miiko yote ya viongozi. Biashara huria sawa bora isiwe holela kwa nchi kuendelea kuwa shamba la bibi tena aliefariki miaka mingi na kubaki bila mwenye mali. Wenye mali tupo rudisheni chama kwa wenyewe.
 
Wasalaam wanajukwaa!

Nadhani kila mtu anamjua huyu mwanamapinduzi,mwanadiplomasia aliyebobea wa siasa za kitaifa na kimataifa,Waziri mkuu mstaafu, katibu mkuu mstaafu wa Umoja wa Africa(AU),Mtumishi wa umma wa miaka mingi asiyekua na doa katika uongozi wake!

Huyu ni kiongozi aliyewahi kutia nia kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka ya nyuma ndani ya CCM lakini rafu za kimakundi zikamchezea!

Ni mtu mwenye maono na anayekubalika kila kona ya dunia, Hakika hii ndio dhahabu ambayo CCM hakitakiwi kucheza nayo, Kama kweli inavyosemekana kua atachukua form ya kuwania urais naye wiki ijayo basi ndiye atakayemaliza kazi maana mpaka hapa kwa waliotia nia wote hakuna wa kufanana naye!

Ni mtu ambaye kwakweli kama atapitishwa ndiye atakayewapa wakati mgumu sana upinzani nchini.

Huyu mzee ni Turufu ya Taifa.

Lakini huko ndani kwenu si mlimwona hafai 2005,mkamtwisha mizigo na dhambi kuwa alimuua karume etc..? Je leo ametubu ? au ni ushenzi wenu unaendelea? BTW,Kama nawe ni mwanachama wa Chama cha vibaka (By Mkaruka Makongoro)
 
With all glories and goddies from Dr Salim, we do not need another Muslim in the state house. This time tumpate hata kama ni mlokole lakini waislam hapana. Angalia polisi wote wako chini ya waislam, parastatal organs kubwa ziko chini ya waislam na ajira sasa hivi ukisema jina lako Abdallah, there is highest change utapewa interview. Imetosha yahe..

Unakosea sana mkuu kuzungumzia udini humu.
 
With all glories and goddies from Dr Salim, we do not need another Muslim in the state house. This time tumpate hata kama ni mlokole lakini waislam hapana. Angalia polisi wote wako chini ya waislam, parastatal organs kubwa ziko chini ya waislam na ajira sasa hivi ukisema jina lako Abdallah, there is highest change utapewa interview. Imetosha yahe..

Hivi waislam wanatumia msahafu kuongoza hii Serikali?mbona watu mna mawazo ya kijinga sana.
 
Mpende msipende rais 2015 lazima awe mkristo,hata wakiochukua fomu ya urais ccm ambao ni waislam wanajua kuwa wanatafuta kusikika tu
 
Maovu yote yaliyofanyika chini ya serikali za awamu ya pili,tatu na nne alikuwepo na wala hatukuwahi kumsikia a
kikemea iwe ndani ya vikao vya ccm au popote pale. Chini ya uongozi wa maraisi hao biashara zilifanyika ikulu iliyoitwa mahali patakatifu na baba wa taifa hili. Ufisadi wa kutisha wa kuuza nyumba za serikali kwa bei za kutupa tena wengine wakiwa wala sio wafanyakazi wa serikali. Uuzwaji wa mashirika ya umma kwa bei za kutupwa na kwa upendeleo mkubwa. Inasemekana wawekezaji wengi waliuza mitambo waliyoikuta na kuyafanya mastoo yao.Sehemu nyingine motor moja tu katika viwanda hivyo iliweza kurudisha gharama za ununuzi wa kiwanda. Waliokuwa wafanyakazi wa viwanda hivyo na walioaminishwa wawekezaji watavifufua viwanda na ajira zao kuendelea walirushwa nje hata bila kulipwa stahiki zao.Nayo mabenki na viwanja vya ndege yaliuzwa kwa bei zisizo kwenye soko alimradi wazee wameshapokea milungula yao. Ukafuata ufisadi mkubwa wa meremeta na nduguze,majengo pacha b.o.t.,richmond na nduguze hadi kufikia escrow na mikataba yote ya kinyonyaji iliyofanywa na viongozi bila kusahau ya radar. Yote hayo hatukumsikia akikemea hata kwa kunena tu.Mimi nasema kwa watia nia wote kupitia ccm walipo bado kwenye uongozi na hata waliostaafu au kustaafishwa,kuwajibishwa au kufukuzwa hayupo anaeweza kudai kuliongoza taifa na kuturudishia matumaini zaidi ya Makongoro Nyerere. Labda kama watapimwa kwa ukubwa wa kashfa zao.Tatizo kubwa la uongozi wa nchi hii ni mfumo uliopo ccm na serikali yake. Unafuu wa serikali na baraza atakalounda Makongoro ni kuwa serikali yake haitakuwa na ubia na viongozi walipo madarakani na watakaoondoka baada ya muda wao kumalizika. Hivyo kwa kuwa atakuwa m/kiti wa chama na raisi wa nchi ni rahisi kuubadilisha mfumo bila kuwa kwenye makwapa ya yeyote.Kwa kumtazama tu Makongoro unaamini kabisa atafanya hivyo kwa manufaa ya wananchi na kuthibitisha hilo alipokuwa m/kiti mkoa wa Mara alikemea mara nyingi chama kutumiwa vibaya na kuvunjwa taratibu makusudi kabisa. Vinginevyo achaguliwe raisi toka ukawa nae serikali yake haitakuwa na ubia na yeyote na ni rahisi kubadilisha mienendo yote mibovu iliyopo na ikibidi kurejesha mali na fedha zote za umma zilizoibwa na mafisadi. Hilo hata Makongoro anaweza sana ikiwa ni kurudisha na azimio la Arusha na miiko yote ya viongozi. Biashara huria sawa bora isiwe holela kwa nchi kuendelea kuwa shamba la bibi tena aliefariki miaka mingi na kubaki bila mwenye mali. Wenye mali tupo rudisheni chama kwa wenyewe.

Sio kwamba haya yote alikua hayaoni mkuu! Tatizo hapa lilikua ni mfumo mbovu wa uongozi! Walimbana sana na kumwita nwarabu, ndio maana hata kwenye ujumbe wa kamati kuu hakupewa nafasi ndio juzi tu hapa wakaona aibu wakamwingiza, Anayajua madhaifu yote ya kimfumo ndio maana anaitaka nafasi ya urais anyooshe mambo.
 
Back
Top Bottom