Hauna akili masterHuwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
CCM ni Mali ya umma!! Ilindwe na isemwe piaHuwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Kujitoa ni udhaifu, harafu Chama kibaki na wahuni tu .lazima ukipambanie Chama ndani na njeHuwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Wewe unapokuwa unapiga deki au kusafisha nyumba yako kutoa uchafu unahama? Unasafisha ukiwa nje? Unatakiwa utoe uvundo ukiwa ndani.Makosa yake ni kuendelea kujidai kuwa ni mwana CCM wakati anaiboma CCM iiiyokwisha kumpiga teke.
Weww na nani mnataka muwaelewe??Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Mchezo wanaocheza Gwajima na Polepole ni sawa
Ukiwa mtulivu utaona
Juzi Gwajima kaanza kuelezea uhusiano wa katoliki na madhebu mengine hii ni dhahiri nyuma ya kelele hizi ni udini
Tusifike huko watanzania na tusishawishiane kumkubali au kukataa mtu sababu ya dini yake
Kama ni ukatili katika medani za kisiasa kuna kiongozi alikuwa mkatili wa wazi kama JPM? Ole Sabaya alilelewa na kulindwa wakati gani?
Tuwe na utulivu na tusiruhusu hisia zitutawale
Kuna gamba limetekwa huku, naona CCM akili zinawarudiaHuwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Nakazianyoka akiingia ndani ya nyumba yako hupaswi kuhama nyumba unatakiwa upambane nae ili watoto na familia wawe salama tena hakikisha unampiga kichwani ili asifufuke kabisa.
Wewe ni mafiHauna akili master
Kwa hiyo, kichaa ni wewe au mimi mwanangu? Yaani, wewe ni wa kunikosea heshima hivi Pasco! Mungu anakuona. Usipoomba msamaha, kitakachokukuta usinilaumu bali ujilaumu. Utanitukanaje hata bila kufafanua lau nikajifunza kitu kwako? Ningekuwa sina adabu kama wewe ningekuita mkumbaff mkubwa kabisa.Umeanza vizuri, ila finishing yako imenikumbusha Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
Waende CHADEMA au wapotelee mbali kama akina Janwari Makamba na Nape mapepe nnauyewaende wapi. wafukuzeni
Samahani Sorry!.Kwa hiyo, kichaa ni wewe au mimi mwanangu? Yaani, wewe ni wa kunikosea heshima hivi Pasco! Mungu anakuona. Usipoomba msamaha, kitakachokukuta usinilaumu bali ujilaumu. Utanitukanaje hata bila kufafanua lau nikajifunza kitu kwako? Ningekuwa sina adabu kama wewe ningekuita mkumbaff mkubwa kabisa.
poa mwananguSamahani Sorry!.
P
Kujitoa au kutokujitoa CCM hakutusaidii sisi. Acha waendeleo kuwa humo humo naamini Bado wana mirija ya kuwawezesha kunyaka madudu mengi ambayo mwisho wa siku wanayasanua kwa umma.Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Yaani kuwa humo ni bora sana kuliko kutoka sema tu wapumvavu na wajinga ni sisi na hasa vyombo vyetu vya usalalama vimelala usingizi wa pono, wako tayari kuhangaika kumtafuta mwenye comment hii wamuue ili kuyalinda majizi ya mali za nchiHuwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Samahani Sorry!.
P