The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,706
nyoka akiingia ndani ya nyumba yako hupaswi kuhama nyumba unatakiwa upambane nae ili watoto na familia wawe salama tena hakikisha unampiga kichwani ili asifufuke kabisa.Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.

Makosa yake ni kuendelea kujidai kuwa ni mwana CCM wakati anaiboma CCM iiiyokwisha kumpiga teke.Gwajima amekosa nini?
Hivi kupinga Utekaji ni kosa kisheria hapa Tanzania?
Haswa tena wahuni wanapowatuhumu wahuni wenzao uhuni wanoaufanyaWahuni sio watu
As long as their enemy is our archenemy, we have no problem with these CCM rebels. we’re fighting a common enemy. Hatupaswi kujaribu kumshambulia rebel yeyote anayetumia silaha zake kumshambulia adui yetu number one!Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Kama wameasi wafukuzweHuwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Kwa kuwa ccm SI chama Cha watekaji na waizi wa kura,Kama wameasi wafukuzwe
Kwaiyo unataka aende kwenye vyama vya project maalumu?Makosa yake ni kuendelea kujidai kuwa ni mwana CCM wakati anaiboma CCM iiiyokwisha kumpiga teke.
Mbona wahuni na raia feki awaj8toi ccm Rostam azizi, zungu ponjori nkHuwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM. Huwezi kuendelea kukaa kwenye ndoa halafu ukaiponda. Licha ya kuwa usanii uchwara, ni usanii na kuishiwa hoja mbali na kutapatapa.
Kwanini hawakuyasema waliiyosema wakati wa Jiwe? Unafiki mtupu. Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Umeanza vizuri, ila finishing yako imenikumbusha Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wanapigania maslahi ya Tanzania
Kama wanataka tuwaelewe, shurti wajitoe CCM.
Kwendeni zenu nyambaff nyie.
Sijamsikiliza anayejiita askofu, ila huyu mwingine anaipigania ccm yake, kwao ni chama kwanza, sijui bila nchi hicho chama chake kingekuwepo?. Hatoki ili ahakikishe hayo anayoona chama chake kimekengeuka kiyarekebishe.Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania wakati Tanzania yenyewe 'wanayopigania' ni matumbo yao ni kulipiza visasi kwa kudhulumiwa na dhulumat wenzao.