Kama chanzo cha wanafunzi kufeli ni mitandao,umbali kwanini walimu wakuu waadhibiwe?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Hakika nimekuwa nafwatilia michango mbalimbali ya wadau wa elimu Juu ya wanafunzi kufeli mitihani yao. Wadau wamekuwa wakitoa sababu nyingi sana zikiwemo umbali wa Shule, usafiri . Mwanafunzi anakaa Bunju anapangiwa Shule iliopo kigamboni ukweli ni Changamoto kubwa.

Pia imethibitika kuwa wanafunzi wengi wamekuwa wanashinda kwenye mitandao muda mwingi badala ya kujisomea. Pia kuna hili suala la KUBET wanafunzi wengi wanashiriki sana

Sasa kama yote tunayajua kwanini Adhabu apewe mwalimu mkuu? Wakati umefika Kwa Serikali kuiangalia hii mitandao Na hizi Nyumba za KUBET hakika zinawaharibu wanafunzi wetu tusiishie kuwaadhibu walimu wakuu.
Pia mfumo wa ufundishaji na maslahi ya walimu yaboreshwe.
 
Back
Top Bottom