johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,640
- 142,988
Wadau Wakuu wa Uchaguzi mkuu ambao ni CCM, Chadema na ACT Wazalendo wameridhia kushiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 na Ule wa Serikal za mitaa 2024 na kampeni zimeshaanza chini chini.
Sasa nimemsoma Wakili Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa X akisema bila Katiba mpya hakuna Uchaguzi.
Ndio nauliza huyu Mwabukusi ni nani katika Siasa za Tanzania?
Mlale Unono 😃
Sasa nimemsoma Wakili Mwabukusi kwenye ukurasa wake wa X akisema bila Katiba mpya hakuna Uchaguzi.
Ndio nauliza huyu Mwabukusi ni nani katika Siasa za Tanzania?
Mlale Unono 😃