Kama CCM itawashindwa Chenge na Lowassa tufanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama CCM itawashindwa Chenge na Lowassa tufanyeje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Nov 24, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ingawa kuwatimua uanachama magamba Andrew Chenge na Edward Lowassa haitarejesha pesa yetu. Ikifanyika itakuwa angalau ni kuanza kuvurugana kwa wezi kiasi cha kuanza kuelekezeana mitutu na kumwagiana mtama. Ikitokea hivi ni faida kwa watanzania wanaoendelea kuumia.Kwani vita ya kunguru ni neema ya panzi and vice versa. Hali ilivyo ni kwamba usanii unaweza kutembea na hawa jamaa wakapeta. Je wadanganyika wanaoendelea kusota kwenye kiza na kuporomoka kwa uchumi watafanya nini? Wataendelae kulalamika au kuchukua hatua? Je magamba haya yakifungashiwa virago yatanyamaza au kuamua kumwaga ugali baada ya kumwagiwa mboga na msanii mkuu?
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Muuliza Nape.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tutawalaumu waandishi wa habari kwa kupotosha siku 90, baadae 120, baadae kuvua gamba si kuondoa watu chamani! hahahahahaha ahahahaha!!!
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Usanii mtupu.
  hakuna cha kuvuana magamba wala maganda.
   
 5. M

  Mabewa Senior Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No comment lets c.
   
Loading...