Kama CCM ilishamiri, kwanini watendaji wake wametoswa?

Kama CCM ilishamiri, kwanini watendaji wake wametoswa?

Haiba ya mama kwamba anataka haki ina mbeba vilivyo. Kwa sasa maadui alio nao ni lile genge la wasukuma na wanachato wa imani peke yao. Kwa sasa bila ya genge hili mbona mama ana puyanga barabarani bila ulinzi?

Haiba ya haki haikutakiwa na mwendazake na genge hili la wasukuma koko wakiwamo bashiri, katelefoni, na wenzao.

Anayewajua hawa hawezi kuwa na maneno matamu sana kwao.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Amefanya ziara ipi ya Gari hata kwasaa5 akiwa barabarani?
Mkuu CCM ni walewale, usiumize kichwa kabisa.
Kama yuko tofauti, alete katiba mpya.
Husikii Buhigwa wapinzani wanalia?
 
Tuliomba Sana na kufunga kwa Mungu awaibishe wote wale watakaovuruga uchaguzi mkuu hakika ametenda tumeuona ukuu wake.Mwanakondoo ameshinda.
Leo madalali wa kununua malaya wa siasa wamejaa fedheha

Mkuu ashukuriwe Mungu juu. Tuliofunga na kuomba tulikuwa wengi.

Kweli Mungu hafukuzi Corona peke yake!
 
“Ushindi” wa CCM mwaka 2020 haukuletwa na akina Bashiru au Polepole bali na makada wao waliojazwa kwenye maeneo yote muhimu. Jeshini, TISS, NEC, DED, RCs, DCc, RASs, DASs you name it

Ni ndoto kwa nchi kuja kuongozwa na chama kingine kwa hali ilivyo. Bahati mbaya/nzuri hata wapinzani wenyewe wanalijua hili
 
Amefanya ziara ipi ya Gari hata kwasaa5 akiwa barabarani?
Mkuu CCM ni walewale, usiumize kichwa kabisa.
Kama yuko tofauti, alete katiba mpya.
Husikii Buhigwa wapinzani wanalia?

Hakuna kichwa kinachoumizwa. Roma haikujengwa kwa siku moja.

Mama hajatuzingua, hatuna sababu ya kumzingua.

Mama si chaguo letu kaingia kwa mujibu wa katiba.

La msingi tunahitaji haki, usawa na maendeleo. Katiba mpya ni moja ya haki zetu.

Mama kaonyesha haiba ya kupenda haki. Baadhi ya wabaya wetu wa wazi, majambazi na majizi ya chaguzi zile haramu yako benchi yakiugulia maumivu.

Huo ndiyo ulio msingi wa hoja hii.

Akitupatia na kichwa cha katelefoni - tutafanya sherehe.
 
Mkuu huo kiusahihi haujulikani kama "ushindi." Huo ni "wizi" tena wa kutumia nguvu.

Wizi huo haukufanikishwa na uliowataja hapo juu spontaneously and from nowhere. Kwa maslahi yapi au ya nani?

Unadhani Bashiru au Polepole au jiwe hawakujua nini kilikuwa kinaendelea? Unadhani wao hawakuwa ndiyo waasisi, waratibu, na wapangaji wa wizi huo?

Mbona hao ndiyo ma architects and sponsors wa hilo rojo lote?

Watu nyuma ya wizi wa chaguzi hizi, wakiwa hai au wafu: "Jiwe, Bashiri na pole pole na wenzao wote kokote waliko hawawezi kukwepa lawama hizi asilani."

Ije siku ya neema vizimba mbona vinawasubiri?

Ufike mahali tuwe wawazi: there are consequences. Haiwezekani kuendelea hivi hadi kuja kwa Yesu Kristo mara ya pili.
 
Hivi, iweje basi pamoja na mafanikio makubwa haya (kama ni kweli), watendaji wake wakuu wakiwamo mh. Dr. Bashiru Kakurwa na bwana Humphrey Pole pole watoswe kwenye nafasi zao kivile?
Popote pale kila kiongozi anakuja na watu wake
Ccm Ina watu wengi sana wa kuongoza
 
Popote pale kila kiongozi anakuja na watu wake
Ccm Ina watu wengi sana wa kuongoza

Nyuso hizo ni za mtendaji yule yule ambaye kwa bashasha akitujuza mitambo ilipowashwa tu Ruangwa, Mtama, kina Tale tale, Makamba, Mwana FA nk kwa CCM kukubalika, walikuwa wamepita bila kupingwa.

IMG_20210501_130541_775.jpg

IMG_20210328_223958_589.jpg

IMG_20210329_062246_952.jpg

Maswahiba gani yamempata mja huyu wa Subhana w'u Wataala?

Hamkani si shwari tena. Hapa ni mwendo wa kupururwa. Kwani hata ni siri tena?

Hawa mabingwa wa vya kunyonga wametoswa. Vya halali haviwezi!
 
Haiba ya mama kwamba anataka haki ina mbeba vilivyo. Kwa sasa maadui alio nao ni lile genge la wasukuma na wanachato wa imani peke yao. Kwa sasa bila ya genge hili mbona mama ana puyanga barabarani bila ulinzi?

Haiba ya haki haikutakiwa na mwendazake na genge hili la wasukuma koko wakiwamo bashiri, katelefoni, na wenzao.

Anayewajua hawa hawezi kuwa na maneno matamu sana kwao.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Amefanya ziara ipi ya Gari hata kwasaa5 akiwa barabarani?
Mkuu CCM ni walewale, usiumize kichwa kabisa.
Kama yuko tofauti, alete katiba mpya.
Husikii Buhigwa wapinzani wanalia?
Hakuna kichwa kinachoumizwa. Roma haikujengwa kwa siku moja.

Mama hajatuzingua, hatuna sababu ya kumzingua.

Mama si chaguo letu kaingia kwa mujibu wa katiba.

La msingi tunahitaji haki, usawa na maendeleo. Katiba mpya ni moja ya haki zetu.

Mama kaonyesha haiba ya kupenda haki. Baadhi ya wabaya wetu wa wazi, majambazi na majizi ya chaguzi zile haramu yako benchi yakiugulia maumivu.

Huo ndiyo ulio msingi wa hoja hii.

Akitupatia na kichwa cha katelefoni - tutafanya sherehe.
Kumbuka alisema, hataukipiga kwingine atashinda mzee.
To hakuna ccm nitamuamini.
 
Amefanya ziara ipi ya Gari hata kwasaa5 akiwa barabarani?
Mkuu CCM ni walewale, usiumize kichwa kabisa.
Kama yuko tofauti, alete katiba mpya.
Husikii Buhigwa wapinzani wanalia?

Kumbuka alisema, hataukipiga kwingine atashinda mzee.
To hakuna ccm nitamuamini.

Mkuu sina hakika kama mada umeielewa lakini:

Suala ni kuwa kama CCM awamu ya tano ilikuwa ya haki na kuwa ilishamiri vile kulikoni watendaji wake kutoswa unceremoniously vile?

Ni hivyo tu kujaribu kumwingiza mama Samia hapa mbona si mahali pake? Au kama huyo wamtaka, vipi tuanzishe uzi wake mahsusi kumjadili?

Ni walele tu mkuu labda umeanza kuwafuatilia leo, wanakuchekea then they kill you.
 
Ulishawahi kuwa hata katibu kata? Mkuu sikudharau lakini kuongoza huwa ni issue sana.
Angekuwaje wakati mshindani wake yule shetani aliyeko motoni aliigiza apite bila kupingwa?
 
Popote pale kila kiongozi anakuja na watu wake
Ccm Ina watu wengi sana wa kuongoza

Ni kweri CCM ina watu wengi ndiyo maana hawa wana mtizamo huu:

IMG_20210502_111926_138.jpg

IMG_20210502_112021_041.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Mabibi na mabwana kwa takwimu zilizopo na yale tuliyopata kuyasikia tokea kwa watendaji wake wakuu, CCM 2015 - 2021 ndicho kipindi chama hicho kilikuwa na mafanikio makubwa zaidi katika historia yake. Ilisemekana kuwa katika kipindi hicho, chama hiki kilishamiri vilivyo.

Ya kuwa katika kipindi hicho CCM:

1. Ilipata ushindi wa kishindo (takribani wa 100%) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita.
2. Ilipata ushindi wa kishindo (takribani wa 100%) kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
3. Leo hii bunge la JMT, takribani 100% ya wabunge wote ni wa CCM.
4. Imevuna wabunge na madiwani wengi zaidi waliopita bila ya kupingwa kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi hii.
5. Nk, nk.

Hivi, iweje basi pamoja na mafanikio makubwa haya (kama ni kweli), watendaji wake wakuu wakiwamo mh. Dr. Bashiru Kakurwa na bwana Humphrey Polepole watoswe kwenye nafasi zao kivile?

View attachment 1770906

Ina maana CCM wameshiba sasa kushinda?

Hii shindaji ya vishindo inayoambatana na sambaratishaji ya watendaji washindaji mubashara imekaa je?

Au ni kweli kuwa kila yang'aayo siyo dhahabu?

Ninawasilisha
Ni kuifanyia kazi kwa vitendo ile dhana ya kupokezana vijiti....
 
Back
Top Bottom