Kama bado hajapimwa, kwanini asipimwe?

Hey Kamanda, mambo?

Mwenyekiti wenu ni mlevi?
 

Alikuwa anatoka wapi na huko alikuwa alikuwa anafanya nini kunahusiana nini na tukio la yeye kuumia? Na tangu lini kunywa pombe baada ya saa za kazi imekuwa kipimo cha mtu kustahili kuwa kiongozi? Hivi kweli Mbowe angekuwa ni mlevi mbwa in public, watu wangeacha kuweka picha zake akiwa amelewa chakari?

Amandla...
 
Mkuu kwa issue ya lisu ni tofauti lisu alikuwa kashambuliwa na risasi anavuja damu nyingi Sana afu DCMC kumbuka ni nje ya mji njia mbovu sn kwa mtu anaevuja damu ni changamoto kidogo
 

Ukipata matatizo ya Kiafya principles za kitabibu unatakiwa upate huduma kwanza kwene kituo kilicho karibu yako kama huduma/matibabu ya awali! Hivo madai yako hayana mantiki!
 
Mkuu kwa issue ya lisu ni tofauti lisu alikuwa kashambuliwa na risasi anavuja damu nyingi Sana afu DCMC kumbuka ni nje ya mji njia mbovu sn kwa mtu anaevuja damu ni changamoto kidogo

We "mchuzi wa mbwa" Kuna swala la security my friend. Huwezi kujua hao waliomshambulia walikuwa wamejipanga vipi baada ya victim kuwa ameumizwa! CHADEMA wameona mbali, mnaweza kumpeleka victim sijui BMH au DGH akaishia mortuary....!!CCM siyo watu!
 
Mkuu Mtu anaweza akawa amelewa tena chakari tu na BADO AKAVAMIWA NA KUPIGWA tena kwa mtu kama Mbowe na umaarufu wake timing ya akiwa amelewa its most relevant
 
Mkuu Mtu anaweza akawa amelewa tena chakari tu na BADO AKAVAMIWA NA KUPIGWA tena kwa mtu kama Mbowe na umaarufu wake timing ya akiwa amelewa its most relevant
And....?
 
Kwani mtu akilewa hawezi kupigwa?
 
Mkuu kujua mwenendo Wa mtu kabla ya tukio inasaidia kuweza kutrack na ikiwezekana kupata picha halisi ya nini kisababishi cha tukio.

What if huko alikokuwa alitofautiana na MTU/watu kisha wakamfuatilia na hatimaye kumuumiza?

Kiongozi ukiwa unalewa kabla ama baada ya kazi mpaka ikapelekea Jamii kufahamu, inakuondolea Moral Authority ya kukemea tabia mbaya pindi inapokulazimu.. Uadilifu ni pamoja na kutokuwa na sifa ya kuitwa Mlevi..
 
I believe your Prudence!! Hiyo ya kulewa imekuja masaa zaidi ya kumi kupita ila Morroto alishasema alipigwa ila yasihusishwe kisiasa, then after 10hrs zinaanza propaganda za kulewa just like Lissu kujipiga kwa A.K 47!

I believe unatumiaga akili na huwa kwa baadhi ya mambo nakuamini, Think!
 
Uhuni unaofanya Tanzania unajulikana dunia nzima , Tanzania sio Kijiji isolated .
 
We "mchuzi wa mbwa" Kuna swala la security my friend. Huwezi kujua hao waliomshambulia walikuwa wamejipanga vipi baada ya victim kuwa ameumizwa! CHADEMA wameona mbali, mnaweza kumpeleka victim sijui BMH au DGH akaishia mortuary....!!CCM siyo watu!
Si nasikia waliyompiga walikuwa wanamwambia hawataki kumuuwa hivyo wanampiga kidogo tu.
 
Nyie vijana wa sengerema mnajulikana ushenzi mnaofanya kila mahali na imekuwa aibu kubwa sana ndio maana rais hajiamini kabisa kwani anajua anachezea matope na amewaweka ili mumlinde na kumtetea rejea askofu wenu Gwajima na ujumbe wake kwa wasukuma wote. Aibu tupu...!
 
Ukipata matatizo ya Kiafya principles za kitabibu unatakiwa upate huduma kwanza kwene kituo kilicho karibu yako kama huduma/matibabu ya awali! Hivo madai yako hayana mantiki!
Unaielewa DODOMA vizuri kwanza au unapiga kelele tu hapa mkuu!! Tukio limetokea Huko Area D unaiacha Agakhan, General, makole Hata pale Bunge Dispensary unaenda DCMC Huko Ntyuka kabisa..


Yaan Huko Ntyuka ni Nyuma ya UDOM!! Sasa piga hesabu vizuri mkuu!!!
 
We "mchuzi wa mbwa" Kuna swala la security my friend. Huwezi kujua hao waliomshambulia walikuwa wamejipanga vipi baada ya victim kuwa ameumizwa! CHADEMA wameona mbali, mnaweza kumpeleka victim sijui BMH au DGH akaishia mortuary....!!CCM siyo watu!
Punguza Sana assumption Mkuu mwanzo umesema DCMC ni karibu na eneo la tukio hapa jamaa kakueleza umekimbilia Tena suala la SECURITY, Makamanda mbona mnayumba sana
 
Mkuu, Ngabu natambua ndani ya jukwaa hili wewe ni miongoni mwa watu makini na wala siku zote huwa hukurupuki ktk "sensitive issues" Nakusihi ktk hili vuta subira tu, na pia usikurupuke tena kama ulivyofanya wakati wa tukio la Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…