Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,104
Hata wakati wa Yesu watu walimchagua Baraba ila Yesu auawe. Watanzania waliwachagua Babu Seya lakini Wafanyabiashara Sukuma NdaniKama isingekua mtu huyu,,,,,,,,,,,wale wawili wasingekua NDANI,,,,,,,,,,,,kama isingekua mtu huyu, yule mmoja asingekua NJE mpaka leo
Hata wakati wa Yesu watu walimchagua Baraba ila Yesu auawe. Watanzania waliwachagua Babu Seya lakini Wafanyabiashara Sukuma Ndani
Tuombe mungu amtolewe kwa hekima zake.100% right. Huyu mtu ni curse kabisa
Tanzania gani unaizungumzia? Hii ambayo fedha zinatumiwa bila ya kufuata Bajeti iliyopitishwa na Bunge? NI hii ambayo hakuna maelezo ya kutosha kuhusu matumizi ya shilingi Trilioni 1.5?kama asingekuwa huyu , tanzania ingeendelea kuwa shamba la Bibi
Hata wakati wa Yesu watu walimchagua Baraba ila Yesu auawe. Watanzania waliwachagua Babu Seya lakini Wafanyabiashara Sukuma Ndani
Aisee hii comment yako mkuu inabidi niiprint,niiweke kwenye frame kisha niibandike dinning room.Ili kabla ya kula niwe naisoma kama sala.Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe . Na kila mtu kaajiriwa peke yake sasa ukiambiwa jambo sikiliza na utumie akili zako kufikiriWatumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Watu mna vituko sana!!Aisee hii comment yako mkuu inabidi niiprint,niiweke kwenye frame kisha niibandike dinning room.Ili kabla ya kula niwe naisoma kama sala.
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe . Na kila mtu kaajiriwa peke yake sasa ukiambiwa jambo sikiliza na utumie akili zako kufikiri
Wakishafanya hujuma ndio watalipwa madai yao? Sheria na taratibu si zipo. Mbona mnataka vita yenu ipiganwe na wengine? Huyo mtu ni zigo lenu hilo pambaneni naye kama mlivyokuwa mkimvimbia mkwere. Sio kutafuta sijui huruma ya EU sijui US sasa watumishi wa umma, hamtafanikiwa. Tafuteni think tanks wapya waje na mbinu mpya za mapambano. Maandamano jamaa ameshakataza.Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.Wakishafanya hujuma ndio watalipwa madai yao? Sheria na taratibu si zipo. Mbona mnataka vita yenu ipiganwe na wengine? Huyo mtu ni zigo lenu hilo pambaneni naye kama mlivyokuwa mkimvimbia mkwere. Sio kutafuta sijui huruma ya EU sijui US sasa watumishi wa umma, hamtafanikiwa. Tafuteni think tanks wapya waje na mbinu mpya za mapambano. Maandamano jamaa ameshakataza.
Maskini...!!!Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.Maskini...!!!
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
wakifanya hiyo hujuma, wakatumbuliwa ama kustakiwa msivyo ona haya wala kujua kibaya mtakuja hapa kuwatetea kuwa wanaonewa?Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
wakifanya hiyo hujuma, wakatumbuliwa ama kustakiwa msivyo ona haya wala kujua kibaya mtakuja hapa kuwatetea kuwa wanaonewa?
Mi nawashauri wasijaribu kabisa. Maana wasomi wasio na ajira ni wengi kuliko watumishi walioajiriwa. Shauri zao..wakifanya hiyo hujuma, wakatumbuliwa ama kustakiwa msivyo ona haya wala kujua kibaya mtakuja hapa kuwatetea kuwa wanaonewa?