Kama asingelikuwepo mtu huyu...!

Kama asingelikuwepo mtu huyu...!

Hata wakati wa Yesu watu walimchagua Baraba ila Yesu auawe. Watanzania waliwachagua Babu Seya lakini Wafanyabiashara Sukuma Ndani

Unajua ni kwa nini mkuu walimchagua Baraba? Sababu kubwa ni kuwa Yesu alienda kinyume na matarajio yao. Embu fikiri swali hili: Je ni halali kulipa kodi kwa kaisari? Jibu: Ya kaisari mpeni kaisari na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu.

Je majibu hayo yanatoa mwangwi gani kwa wayahudi waliokuwa wakisikiliza. Kumbuka muda huo Wayahudi walikuwa kwenye ukoloni wa Mrumi na jibu hilo linabariki utawala wa kirumi kwamba watu watoe kodi kwa warumi ilhali Wayahudi walitegemea Yesu ni mwokozi wao Kisiasa, kiuchumi na kijamii(kiroho) lakini hali ilikuwa tofauti.

Ndicho kinachotokea hata sasa
 
kama asingekuwa huyu , tanzania ingeendelea kuwa shamba la Bibi
Tanzania gani unaizungumzia? Hii ambayo fedha zinatumiwa bila ya kufuata Bajeti iliyopitishwa na Bunge? NI hii ambayo hakuna maelezo ya kutosha kuhusu matumizi ya shilingi Trilioni 1.5?
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe . Na kila mtu kaajiriwa peke yake sasa ukiambiwa jambo sikiliza na utumie akili zako kufikiri
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Wakishafanya hujuma ndio watalipwa madai yao? Sheria na taratibu si zipo. Mbona mnataka vita yenu ipiganwe na wengine? Huyo mtu ni zigo lenu hilo pambaneni naye kama mlivyokuwa mkimvimbia mkwere. Sio kutafuta sijui huruma ya EU sijui US sasa watumishi wa umma, hamtafanikiwa. Tafuteni think tanks wapya waje na mbinu mpya za mapambano. Maandamano jamaa ameshakataza.
 
wakifanya hiyo hujuma, wakatumbuliwa ama kustakiwa msivyo ona haya wala kujua kibaya mtakuja hapa kuwatetea kuwa wanaonewa?
 
We kiboko, mpaka watu wakariri kama msahafu
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezek la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
wakifanya hiyo hujuma, wakatumbuliwa ama kustakiwa msivyo ona haya wala kujua kibaya mtakuja hapa kuwatetea kuwa wanaonewa?
 
wakifanya hiyo hujuma, wakatumbuliwa ama kustakiwa msivyo ona haya wala kujua kibaya mtakuja hapa kuwatetea kuwa wanaonewa?
Mi nawashauri wasijaribu kabisa. Maana wasomi wasio na ajira ni wengi kuliko watumishi walioajiriwa. Shauri zao..
 
Back
Top Bottom