X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,768
Acha lawama
Ufisadi ni nini?kama asingekuwa mtu huyu vikao vya kifisadi vingekuwa vinafanyika hadi ikulu
kama asingekuwa mtu huyu , watanzania wangekuwa kama ukoo wa kambale kila mtu ana sharubu, hakuna baba wala nani
kama asingekuwa mtu huyu , maneneo kama unajua mimi nani, yangekuwa mengi sana mtaani.
kama asingekuwa mtu huyu, SGR isingejengwa, shirika la ndege lisingefufuliwa, mikataba ya madini isingerekebishwa, wakulima wangeendelea kunyanyasika, dili zingekuwa zinapigwa hadi na ikulu kabisa, watoto wa kitanzania wasingepata elimu bure
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
kama asingekuwa huyu , tanzania ingeendelea kuwa shamba la Bibi
Kwani Tanzania hivi sasa ishakuwa shamba la babu?kama asingekuwa mtu huyu vikao vya kifisadi vingekuwa vinafanyika hadi ikulu
kama asingekuwa mtu huyu , watanzania wangekuwa kama ukoo wa kambale kila mtu ana sharubu, hakuna baba wala nani
kama asingekuwa mtu huyu , maneneo kama unajua mimi nani, yangekuwa mengi sana mtaani.
kama asingekuwa mtu huyu, SGR isingejengwa, shirika la ndege lisingefufuliwa, mikataba ya madini isingerekebishwa, wakulima wangeendelea kunyanyasika, dili zingekuwa zinapigwa hadi na ikulu kabisa, watoto wa kitanzania wasingepata elimu bure
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
kama asingekuwa huyu , tanzania ingeendelea kuwa shamba la Bibi
ni shamba la komandoo na jemedari MagufuliKwani Tanzania hivi sasa ishakuwa shamba la babu?
Mimi sio MTU HUYU! Mimi ni slim5 na ntabaki hivo hivo!Mtu huyu huenda ni mimi au ni wewe Mkuu
Mtu huyu huenda ni mimi au ni wewe Mkuu
..... Muongo muongo hivi!Acha kujitetea kijana..........watu tushachanganyikiwa sa hv..........hapa sio mim wala wew....ni limjamaa limoja hv
..... Muongo muongo hivi!
Haaah! Haaah! Haaah! Ntaanza na leo KIMARAHahaah! Unakataa sio wewe wakati kesho utatoa sumu nyingine jukwaani?
Wakati wa nyuma hakuna Mtanzania alikwenda embassy za EU au USA ushitaki haki zake za binadamu zinavunjua.Siasa ya ujamaa na kujitegemea....
Kwenye siasa hakuna Mahaba, kwaherini.
Emwenyezimugu wadhibishe Yeye na we zake.Amelaaniwa yeyote anayemtagemea binadamu.