johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,098
- 164,455
Msanii Kalla Jeremiah amesema wananchi wamemtaka agombee ubunge lakini amewakatalia.Amesema yeye kama msanii kazi anazofanya ni sawa na mbunge hivyo kwenda mjengoni ni kama kujirudisha nyuma.Hivyo amesema lengo lake kwa sasa ni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Source e News EATV