Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,562
- 7,348
Vibonzo na vituko vya picha
Hiyo sura unaona ni ya kawaida? Au umezoea kukutana na vibonzo.Hii id card mbona sijaona kituko chake?
Jamani Mimi naona yupo kawaida.Hiyo sura unaona ni ya kawaida? Au umezoea kukutana na vibonzo.
Mzee Meko huyoHiyo sura unaona ni ya kawaida? Au umezoea kukutana na vibonzo.
Duuh aiseeAfadhalo ya hiki ukisema kisaView attachment 1115999
Sio kweli Muhusika kazaliwa1948 kitambulisho ndio kimetolewa 1996Sura ya muhusika na mwaka wa kuzaliwa!
1996 but sura imeenda enda kidogo
VIHIGA haujaiona hapo?Hii id card mbona sijaona kituko chake?
Jamani Mimi naona yupo kawaida.
Hahahaha watakunyeshea na mvuaYaanze magiwi au make-up
Kuna wazazi mbingu wataishia kuisikia tu radioni hata kama baba ke alimkataa sio kwa jina hiliiAfadhalo ya hiki ukisema kisaView attachment 1115999