Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,063
- 74,474
Kuna wazazi mbingu wataishia kuisikia tu radioni hata kama baba ke alimkataa sio kwa jina hilii
Kuna wazazi mbingu wataishia kuisikia tu radioni hata kama baba ke alimkataa sio kwa jina hilii
Hiyo sura unaona ni ya kawaida? Au umezoea kukutana na vibonzo.
Atakuja kukanusha.Shemeji yetu ana sura kama hiyo kwa maana hiyo hakuna cha kumshangaza hapo
Atakuja kukanusha.
Jirani wapi wakati kitoto kiko mbele.Nipo nae hapa jirani
tunapata vitu vya kulainisha koo
Jirani wapi wakati kitoto kiko mbele.
Msamiati huo. Usisome kama unasoma silabi.Mkuu
Kwani mimi niko nyuma ?
Leo ndo nmegundua
Msamiati huo. Usisome kama unasoma silabi.
Hapo uko sawa sasa.Mbele = Ughaibuni
Au kwa ki lugha chetu tunaita Overseas. Isn't it ?
Pamoja mzee babaHapo uko sawa sasa.
Kuna jamaa nasoma nae anaitwa mimbaAfadhalo ya hiki ukisema kisaView attachment 1115999
Kuna jamaa nasoma nae anaitwa mimba
HahahahHiyo sura unaona ni ya kawaida? Au umezoea kukutana na vibonzo.