Hiki ni kitu gani?Anayevaa nguo za baba yako ndiye mama yako. Mhe. Jaji Fredereck Werema.
Naye ni mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM huko mkoa wa maraUkiambiwa mwanaCCM ni sawa na ugojwa , Werema bure kabisa , mwanasheria wa serikali shabiki wa ccm wapi na wapi
hivi mtu kama huyu anachaguliwa kuwa Mwnasheria mkuu utegemee nini ? Garbage Matunda ya Manzese UniversityAnayevaa nguo za baba yako ndiye mama yako. Mhe. Jaji Fredereck Werema.
Isssh....!Anayevaa nguo za baba yako ndiye mama yako. Mhe. Jaji Fredereck Werema.
hivi mtu kama huyu anachaguliwa kuwa Mwnasheria mkuu utegemee nini ? Garbage Matunda ya Manzese University
Anayevaa nguo za baba yako ndiye mama yako. Mhe. Jaji Fredereck Werema.
Nadhani moja ya sifa ya kuwa Mwanasheria Mkuu ni kuwa arrogant maana yake hata Chenge alikua hivi hivi,yaani Werema ana kiburi na dharau hadi anakera mimi ningekua ndo Tundu Lisu ningeshampiga ngumi